Hali inatisha,Yanga yatema wachezaji 15

Sasa wawaambie mashabiki zao kuwa walikuwa wanawadanganya kuwa mnyama anabebwa na tatzo ni wachezaji wao wa kuokota. Mashabiki wa Yanga mjifunze kwa hili sio kubaki mnaimba Simba anabebwa. Endeleeni kuimba tena huo wimbo mwakani tukusanye tena vikombe vyote
 
Sibomana Ni mchezaji mzuri ila utopolo hata umpeleke CR7 na yeye anakuwa mtopolo tu[emoji23][emoji23][emoji23]
Kuna timu iliwahi kumuacha Tambwe akiwa katika ubora wake! Sijui tuiiteje! Sio kila anayeachwa hana kiwango! Hata Tshishimbi kapigwa chini, kama ni wazuri wachukueni!
 
Mimi mshabiki wa yanga.. ila viongozi wa yanga hawatumii akili .. nahisi ni kundi la wachumia tumbo.

Timu gani kila msimu inasajili zaidi ya wachezaji 15 wapya..

Timu huwaga hazisajili wachezaji wengi.. ili wa zamani wazidi kuzoeana..

Kuna kitu kinaitwa rebuilding kwenye sports.. sasa yanga kila msimu wanaanza upya hiyo rebuilding process..

Halafu wachezaji wenyewe wanaosajiliwa ni kitukon. Mara mbao. Mara kagera sugar mara polisi..


Kweli ukashiriki mashindano ya caf na wachezaji kutoka polisi?
 
Kuna timu iliwahi kumuacha Tambwe akiwa katika ubora wake! Sijui tuiiteje! Sio kila anayeachwa hana kiwango! Hata Tshishimbi kapigwa chini, kama ni wazuri wachukueni!
Shida ni PESA jmn
 
"Tutasajili wachezaji kutoka Ligi 5 bora barani Afrika" Alisikika muuza magodoro
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…