OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
Nasema hali inatisha kwa sababu hata mwaka jana walifanya usajili mkubwa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mpaka Sibomana ????View attachment 1526186
View attachment 1526194
Nasema hali inatisha kwa sababu hata mwaka jana walifanya usajili mkubwa
View attachment 1526187
Kuna timu iliwahi kumuacha Tambwe akiwa katika ubora wake! Sijui tuiiteje! Sio kila anayeachwa hana kiwango! Hata Tshishimbi kapigwa chini, kama ni wazuri wachukueni!Sibomana Ni mchezaji mzuri ila utopolo hata umpeleke CR7 na yeye anakuwa mtopolo tu[emoji23][emoji23][emoji23]
BORA UTOPOLO KULIKO WACHAWI.Sibomana Ni mchezaji mzuri ila utopolo hata umpeleke CR7 na yeye anakuwa mtopolo tu[emoji23][emoji23][emoji23]
Hatutaki magarasa ya utopolo sisiKuna timu iliwahi kumuacha Tambwe akiwa katika ubora wake! Sijui tuiiteje! Sio kila anayeachwa hana kiwango! Hata Tshishimbi kapigwa chini, kama ni wazuri wachukueni!
Shida ni PESA jmnKuna timu iliwahi kumuacha Tambwe akiwa katika ubora wake! Sijui tuiiteje! Sio kila anayeachwa hana kiwango! Hata Tshishimbi kapigwa chini, kama ni wazuri wachukueni!
Chipanzee ala kumbe minyan fcMbumbumbu fc mnateseka sana.
Ndio wanaojua soka. Tunashangaa timu kusajili wachezaji 22 ndani ya msimu mmoja halafu kuwatema 15. Ni yanga tu ndio wanaweza kufanya hivyo na mashabiki wasiojua soka hawashangai.Huu uzi wanaoshangaa ni watu wa simba kwanini, sijauelewa