Yaani kwako Tanzania haina maana, au siyo?Yaani Kifo cha mwamba ndo kimeniuma, ndo kitu pekee kinachonifanya tarehe 29 Oct niingie barabaran nikiwa nimebeba Bango la picha yake nikidai haki itendeke, nimejitoa kwenye hili, na sitarudi nyuma.
Ulimpenda sana huyo mwamba hadi ukasahau kuwa Tanzania!
Inasikitisha sana kuwa na fikra za namna hii.