Yaani kwako Tanzania haina maana, au siyo?Yaani Kifo cha mwamba ndo kimeniuma, ndo kitu pekee kinachonifanya tarehe 29 Oct niingie barabaran nikiwa nimebeba Bango la picha yake nikidai haki itendeke, nimejitoa kwenye hili, na sitarudi nyuma.
Imekaaje hiyo hebu tufafanulie please.GenZ wa Kenya wametoa offer ya internet mbadala
Ukimpenda uyu jamaa ni umeipenda TZ, hapa sio jambo la fikra ni la kihisia.Yaani kwako Tanzania haina maana, au siyo?
Ulimpenda sana huyo mwamba hadi ukasahau kuwa Tanzania!
Inasikitisha sana kuwa na fikra za namna hii.
Ipi hiyo?GenZ wa Kenya wametoa offer ya internet mbadala
Mgombea ubunge kwa kiti cha urais anasaidiwa hata kunadi sera.Mgombea ubunge kwa kiti cha urais anasaidiwa hata kunadi sera.