Kuna yule Arlus Mabelee Mcongoman aliyefia Ufaransa jana kwa Corona piaHapo tunahesabu waliokufa, Waafrca ni wawili tu. Mbukinabe na Msudan, hao wengine ni Wazungu, na ndiyo ugonjwa wao
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna yule Arlus Mabelee Mcongoman aliyefia Ufaransa jana kwa Corona piaHapo tunahesabu waliokufa, Waafrca ni wawili tu. Mbukinabe na Msudan, hao wengine ni Wazungu, na ndiyo ugonjwa wao
Sent using Jamii Forums mobile app
Miaka ya nyumba kulikuwa na katabia cha kumeza Chloroquine hata kama uumwi kwa ajili ya tahadhari ya malaria. Kwani serikali isilichukulie hii CORONA kwa kutuamuru Watanzania wote tumeze kabisa hizo Chloquine kabla?Hapa katika nchi ya Switzerland hali haikuwa ya kutisha, lakini tangu wiki hii ianze mambo yamebadilika Corona anasambaa kwa kasi, mpaka leo kwa takwimu za serikali tayari kuna caases 4002 nchi nzima waliothibitika na ugonjwa huu na watu 982 ambao ni wa maambukizi mapya, watu waliokufa mpaka leo hii ni 45 akiwemo Mwafrika mmoja raia wa Zimbabwe, na vifo vipya mpaka muda huu vimeongezeka kufikia 18.
Uzuri ni kwamba kwa wote waliobaki hakuna mgonjwa aliye serious, wote wana unafuu na wengi karibu asilimia 96 wanatarajiwa kuruhusiwa kurudi makwao.
Kuna mitaa tayari mamlaka za serikali haziruhusu watu kutoka nje ya nyumba yako kwa mujibu wa tangazo la jana kwenye television. Maafisa usalama na watu wa afya wametapakaa kila kona ya mitaa hiyo wanapulizia madaa, maahitaji ya nyumbani yote wanaagiza online na yule anayekuletea huwezi kumuona, yeye anafika nje ya mlango wako anaku-notify kuwa amefika anaacha mzigo anaondoka.
Migahawa yote na hotel kubwa na ndogo za hapa Geneva kama Mövenpick Hotel & Casino, InterContinental, Ari Resort Apartments, Hotel Beau Rivage na nyinginezo zina vipimo maalum vya korona ambavyo vinaweza kumtambua mgonjwa ndani ya masaa 24 tu baada ya maambukizi, japo serikali ya huku imejipanga sana lakini usaambaji wa huu ugonjwa ni mithili ya zimwi.
Huko nyumbani Tanzania naona watu wanaleta mzaha na huu ugonjwa, ukianza kuchanganya mtatafutana, ukweli mtatafutana. Tuombe tu Mungu atuepushe maana hali inaweza kuwa mbaya zaidi. Mpaka ninavoandika hapa nimechungulia kwa taarifa za Africa vifo vya ugonjwa huu vimefika 16.
Misri 6
Algeria 6
Morocco 2
Bukinafaso 1
Sudan 1
Mungu Ibariki Africa. Mungu ibariki Tanzania na watu wake, waepushie hili janga.
Tatizo la Africa ni siasa mbovuHuku Afrika hakuna vipimo vya maana, watu wanatoka nje wanapita airports bila ya kuwa detected then wakifika nyumbani wanahamua zao kwenda hospitali kupima kama ilivyokuwa kwa mwanaFA, kwa hiyo hata ukichanganya hakuna atakaejua ni watu tu kufa kimyakimya! Hii ndiyo Afrika bhana!
Ok. Kwa maana hiyo tiba imepatikana?. Hawa wanasayansi mbona hawaeleweki?mkuu kwa mjibu wa serikali asilimia kubwa ni kama wamepona.
watawekwa chini ya uangalizi kwa mda sehemu maalum.
kwa huku serikali iko makini japo hili gonjwa ni kama zimwi lakini mamlaka za serikali zinafnya kazi zake kisawasawa kabisa.
mkuu mimi sio daktarin na sijui wanaponaje ila serikali ya huku iko makini sana na watu wanapewa nyenzo za kujikinga bure kabisaOk. Kwa maana hiyo tiba imepatikana?. Hawa wanasayansi mbona hawaeleweki?
Sent using Jamii Forums mobile app
Sio kweli kafa kwa shinikizo la damu.Kuna yule Arlus Mabelee Mcongoman aliyefia Ufaransa jana kwa Corona pia
huko Geneva of Africa ni wapi mkuu?Governor wa Geneva of Africa kasema Covid imedhibitiwa mkoani kwake hivyo watalii wasiwe na hofu.
Sent using Jamii Forums mobile app
huko Geneva of Africa ni wapi mkuu?