Hali ishaanza kuwa mbaya hapa Geneva, Corona anataka kuletea balaa

Miaka ya nyumba kulikuwa na katabia cha kumeza Chloroquine hata kama uumwi kwa ajili ya tahadhari ya malaria. Kwani serikali isilichukulie hii CORONA kwa kutuamuru Watanzania wote tumeze kabisa hizo Chloquine kabla?
 
ukiona mwafrica amekufa na corona, ujue alikuwa na magonjwa mengine makubwa, corona haiui mwafrica
 
Miaka ya nyumba kulikuwa na katabia cha kumeza Chloroquine hata kama uumwi kwa ajili ya tahadhari ya malaria. Kwani serikali isilichukulie hii CORONA kwa kutuamuru Watanzania wote tumeze kabisa hizo Chloquine kabla?
😀😀😀 😳 😳
 
Huku Afrika hakuna vipimo vya maana, watu wanatoka nje wanapita airports bila ya kuwa detected then wakifika nyumbani wanahamua zao kwenda hospitali kupima kama ilivyokuwa kwa mwanaFA, kwa hiyo hata ukichanganya hakuna atakaejua ni watu tu kufa kimyakimya! Hii ndiyo Afrika bhana!
 
Tatizo la Africa ni siasa mbovu
 
mkuu kwa mjibu wa serikali asilimia kubwa ni kama wamepona.
watawekwa chini ya uangalizi kwa mda sehemu maalum.
kwa huku serikali iko makini japo hili gonjwa ni kama zimwi lakini mamlaka za serikali zinafnya kazi zake kisawasawa kabisa.
Ok. Kwa maana hiyo tiba imepatikana?. Hawa wanasayansi mbona hawaeleweki?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sasa kama waliokufa walikuwa na miaka 90 na walikuwa na kansa na kisukari we ulitegemea nini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…