Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 76,107
- 160,001
ningekaa chini!!!
na ulivyo shuga wa ukweli mi nsengebanduka nyuma yako
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ningekaa chini!!!
kama una kisimu cha mkononi kinachorekodi inakuwa bonge la dili. unawauzia aljazeera au cnn , neksti day unaonekana kwenye mikataba ya richmond na suti lako.
kama una kisimu cha mkononi kinachorekodi inakuwa bonge la dili. unawauzia aljazeera au cnn , neksti day unaonekana kwenye mikataba ya richmond na suti lako.
Hakuna atakayejuwa kuwa ina tobo maana hofu ya kifo inakufanya usione mengine..........walipo kimbilia nguo sasa kuchagua mpaka uipate ya kwako ipo kazi unaweza jikuta mwanaume umevaa gauni bila kujijua kwa sababu ya hofu na kuficha uchi! sasa kama una chupi iliyochanika hapo sijui
Walipo kimbilia nguo sasa kuchagua mpaka uipate ya kwako ipo kazi unaweza jikuta mwanaume umevaa gauni bila kujijua kwa sababu ya hofu na kuficha uchi! Sasa kama una chupi iliyochanika hapo sijui
WanaJF, mara kwa mara tumesikia kuhusu utekaji wa mabasi ya abiria na bahati mbaya sana watekaji huwa wanawavua nguo zote abiria na wanabaki uchi wa nyama. Mimi haijawahi kunitokea! Sijajua wanaovuliwa nguo huwa wanafanyaje baada ya hapo, kwamba huwa wanaomba msaada kwa wapita njia au vipi?
1. Ukizingatia wako jinsia tofauti tena uchi, je, nani anakuwa kiongozi wao?
2. Kila mtu atakuwa amekaa chini kujisitiri, nani ataanza kunyanyuka kwa ajili ya kuchukua hatua zinazofuata? Just thinking loudly!
3. Jifikirie ulivyo ukiwa peke yako tena uchi, kisha jifikirie mkiwa kundi, pia mko uchi: Jinsia tofauti, maumbo tofauti, rangi tofauti, hapo inakuwaje? A further loud thinking!
Kama wewe ungekuwa kwenye hali kama hiyo ungefanyaje?