Hali mbaya Clouds media,wakubali yaishe kwa WCB..

una habari kwamba Ruge yuko kwenye machine ya kusapoti pumzi?
Ajabu ni kwamba pamoja na kuwa yuko kwenye mashine kama unavyodai kila kitu hapo CMG kinaenda poa tuu as if he is around. This means he is good leader na amefaulu sana ku delegates majukumu mbalimbali kwa staff wake.
 
Bashite kufanya tangazo la fiesta limewachoma WCB mpaka kwenye nanihii...
 
Nilichojifunza mpaka sasa ni clauzi bila Ruge ni sawa na man United bila Ferguson... Wote wanapata tabu sio kitoto
 
Ajabu ni kwamba pamoja na kuwa yuko kwenye mashine kama unavyodai kila kitu hapo CMG kinaenda poa tuu as if he is around. This means he is good leader na amefaulu sana ku delegates majukumu mbalimbali kwa staff wake.
😂 umejitahidi kuchanganya na kiinglish kimtindo ili kuleta ladha ya hoja yako ila sasa hiyo lugha ya watu mmhh
 
Acha awanyoonye
 
Ajabu ni kwamba pamoja na kuwa yuko kwenye mashine kama unavyodai kila kitu hapo CMG kinaenda poa tuu as if he is around. This means he is good leader na amefaulu sana ku delegates majukumu mbalimbali kwa staff wake.
Kila kitu kinaenda poa kwa kufuta moja kubwa kwa kumuogopa lavalava na maromboso?
 
Mmekubali yaishe au sio mlishindana na vilaza brand ya wasafi jumlisha Msaani mkubwa Diamond na wcb itawaacha hali mbaya miaka 2 ijayo mjipange tu maije kusema hamkuambiwa haya.
Washikwe tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…