Vumbi la congo
JF-Expert Member
- Oct 26, 2018
- 666
- 981
Eti soudy brown Sisi tusioelewa kinachoendelea tucomment wapi mkuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ajabu ni kwamba pamoja na kuwa yuko kwenye mashine kama unavyodai kila kitu hapo CMG kinaenda poa tuu as if he is around. This means he is good leader na amefaulu sana ku delegates majukumu mbalimbali kwa staff wake.una habari kwamba Ruge yuko kwenye machine ya kusapoti pumzi?
Ni juhudi za Serikali ya awamu ya tanoMatamasha haya makubwa yanasomba Akiba Za Maskini
😂 umejitahidi kuchanganya na kiinglish kimtindo ili kuleta ladha ya hoja yako ila sasa hiyo lugha ya watu mmhhAjabu ni kwamba pamoja na kuwa yuko kwenye mashine kama unavyodai kila kitu hapo CMG kinaenda poa tuu as if he is around. This means he is good leader na amefaulu sana ku delegates majukumu mbalimbali kwa staff wake.
Unakijua kipindi cha 360 cha clouds fm?Hiyo inajulikana. Hata akiwaga mzima. Ushagawahi ona anajibu chochote? Kwanza hana account hata moja kwenye social net.
Rudia tena kusoma ulicho quote, unaweza kuelewa.Miaka mitano, yakwako tusubiri miaka mingapi ???
Umeelewa content???[emoji23] umejitahidi kuchanganya na kiinglish kimtindo ili kuleta ladha ya hoja yako ila sasa hiyo lugha ya watu mmhh
content haina ugumu wowote kwa mtu kutoelewa,but hoja yenyewe ni dhaifu mnoo!Umeelewa content???
Acha awanyoonyeUmesahau #mkubwakasema kipindi kile Ruge alivyopiga marufuku nyimbo za Jide, Umesahau Jide anazindua album yake nao siku ya tarehe hiyo wakapanga event ya mwana FA ili wazuie wasanii wasiende kwenye uzinduzi wa Jide, Umesahau CMG walichomfanyia Majizo kupanga tarehe moja, mkoa mmoja siku ya pili Gerrard Hando, Kibonde na Adam mchomvu wakawa wanamponda kimafumbo Majizo, CMG ni waswahili tena waswahili haswa na fitina wanazijua, sema sasa hivi wamekutana na mswahili mwenzao na ndio maana waswahili wanasema usipende kuwafanyia wenzio kile usichokipenda kufanyiwa ww.
aseeAcha awanyoonye
Kila kitu kinaenda poa kwa kufuta moja kubwa kwa kumuogopa lavalava na maromboso?Ajabu ni kwamba pamoja na kuwa yuko kwenye mashine kama unavyodai kila kitu hapo CMG kinaenda poa tuu as if he is around. This means he is good leader na amefaulu sana ku delegates majukumu mbalimbali kwa staff wake.
Washikwe tuMmekubali yaishe au sio mlishindana na vilaza brand ya wasafi jumlisha Msaani mkubwa Diamond na wcb itawaacha hali mbaya miaka 2 ijayo mjipange tu maije kusema hamkuambiwa haya.