Hali mbaya: Fastjet inaweza kufilisika mwezi huu...

Hali mbaya: Fastjet inaweza kufilisika mwezi huu...

Sijaona hapo kwenye Kingereza sehemu waliyotaja TANZANIA. N hivi sikijui kiingilishi ni shida tupu
 
Kuna maccm wanadhani atcl ndio kaivuruga fastjet, naisubiri waivuruge KQ na Ethiopia airline!
 
Labda ni go ahead kwa ATC but we all knows nini kinatokea pale mashirika ya serikali yetu yanavyofanya pindi panapokua hakuna mpinzani.
 
Fastjet imetoa tamko Leo kwamba Biashara yake ya Tanzania haina faida na kwamba inaweza kufunga virago kama isipopata mtaji mwezi huu. Hii ndio statement walioitoa London stock exchange
...............
Additional funding will be required by the end of October to enable fastjet to continue operating; The Company is currently in active discussions with its major shareholders regarding a potential equity fundraising, in the absence of which the Group is not able to continue trading as a going concern. Whilst initial discussions with certain shareholders have been positive, discussions are ongoing and there can be no guarantee of a successful outcome."
.......
Fundisho kwa Air tz.
Biashara ya ndege sio rahisi.
wafanyakazi wote wa serikali wanatosha abiria kupata faida
 
Waache waende! Fastjet walijitapa kuhamishia makao yao makuu toka Tanzania kwenda Kenya mara bada ya kuanza operation zao huko. Kenya walivyowanyima vibali vya kuruka wakafyata mkia. Hawana uzalendo na Tz. Wamekuja kuchuma tu...
 
Iwe kwa sababu yoyote ile mara unaposikia biashara fulani inafungwa kwa mjasiriamali makini inatosha kukupa "stress" ya kiuchumi regardless biashara ni yako au lah! Kwa maana kiuchumi unaelewa what's going to happen. Kodi itapotea + ajira za watu this isn't good newz at all!
 
Natumai wewe sio "mtu mweusi" na wakati wanafanya huo unyonyaji nadhani walikuwa wanawafanyia "watu weupe".
ndo shida yetu hiii mtu anafanya biashara sio msaada anahitaji faida ili kujiendesha na pia kuongeza kipato .....mlitaka asipate faida ama sababu price yake ilikuwa resonable sana kama umefanya booking mapema
 
Kabisa mkuu
Fastjet walikuwa na business plan na walikuwa wanamapesa kibao kutoka London stock exchange. ATC ni siasa tu na ukichukulia hali ya kifedha ya serikali sasa je wanaweza kuweka fedha walizoweka fast jet? Sidhani.

Tatizo usafiri wa ndege ni wachache sana wanaweza kumudu tz. Serikali inge weka vipaumbele kama maji na elimu kwanza.
 
Back
Top Bottom