Uhuru24
JF-Expert Member
- May 2, 2015
- 4,112
- 4,361
Wakuu hali ni mbya sana, mm sijawahi kwenda kununua kitu dukani iwe mchele au mafuta ya kula, sasa leo ndio kwa mara ya kwanza nikaenda kununua kwa kuwa nipo peke yangu nilichokikuta huko ni balaaa tupu, ni hivi:-
Wakat nakaribia dukani yule jamaa alikuwa anafunga lile duka na kunieleza kwamba biashara hakuna kabisa, anakwambia kinachouzika dukani sas hivi ni sigara na unga tu, akanieleza kutwa ya jana tarehe3/5kauza sigara mbili tu, anapoteza muda kushinda dukani wakat biashara hamna.
Akazid kusema mafuta ya kula yamekuwa anasa kubwa sasa, kwan ndoo imepanda kwa 20,000 juu kwa muda wa week moja tu. Hii ndio hali husika huku kitaaa chetu.