Hali mbaya wandugu,msaada

Hali mbaya wandugu,msaada

nictbb

Senior Member
Joined
May 18, 2012
Posts
119
Reaction score
9
Jamani anayeweza anipe msaada wa haraka,nasumbuliwa na tumbo,nkikaa kwa muda bila kula,tumbo laniuma sana,pia najisaidia choo chenye damu,meenda hospitali nkaambiwa ni vidonda vya tumbo,metumia dawa za hospitali mpaka nimechoka,nimepata ahueni kidogo,ila tatizo kwa sasa,napata burn juu ya tumbo karibu na kifua,hasa nikila au nikinywa chochote cha moto,siwezi kukaa kwenye joto,wala kutembea juani,nkikaa kwenye ac napata ahueni.Jamani huu ni mwezi wa 3 sasa,hali si hali wandugu,anayejua msaada wowote hata tiba mbadala wandugu,hali mbaya
 
Pole sana ndugu yangu. Sina ushauri wa kukusaidia. Madaktari watakupa ushauri. Mwenyezi mungu akupe nguvu na akuponye.
 
Jamani anayeweza anipe msaada wa haraka,nasumbuliwa na tumbo,nkikaa kwa muda bila kula,tumbo laniuma sana,pia najisaidia choo chenye damu,meenda hospitali nkaambiwa ni vidonda vya tumbo,metumia dawa za hospitali mpaka nimechoka,nimepata ahueni kidogo,ila tatizo kwa sasa,napata burn juu ya tumbo karibu na kifua,hasa nikila au nikinywa chochote cha moto,siwezi kukaa kwenye joto,wala kutembea juani,nkikaa kwenye ac napata ahueni.Jamani huu ni mwezi wa 3 sasa,hali si hali wandugu,anayejua msaada wowote hata tiba mbadala wandugu,hali mbaya

Pole!! tumia ''omeprazole'' sio doze ujue............sh. 500 itatosha!!
Baada ya hapo jiandae kuja kunishukuru!!
 
Hizi ni Peptic Ulcers disease, tumia cimetidine tabs 400mg asubuhi baada ya chai na usiku uanapolala. Acha kutumia vyakula vyote acidic. Tumia matunda kama maparachichi, mapapai, tango, usitumie ndizi mbivu hizi husababisha costipation, kunywa maji ya kutosha, usitumie kahawa na chai ya rangi na mikate. Punguza mawazo na hasira. Nakutakia mafanikio mema.
 
Dah,hivi vidonda vya tumbo vimeadvance lazima uchukue hatua au la hali itakua mbaya kwako.
 
Nenda kapime Eden Sanitarium Clinic Kimara stop Over wako wazi Sunday-Friday wana vipimo na dawa za uhakika.
 
Jamani anayeweza anipe msaada wa haraka,nasumbuliwa na tumbo,nkikaa kwa muda bila kula,tumbo laniuma sana,pia najisaidia choo chenye damu,meenda hospitali nkaambiwa ni vidonda vya tumbo,metumia dawa za hospitali mpaka nimechoka,nimepata ahueni kidogo,ila tatizo kwa sasa,napata burn juu ya tumbo karibu na kifua,hasa nikila au nikinywa chochote cha moto,siwezi kukaa kwenye joto,wala kutembea juani,nkikaa kwenye ac napata ahueni.Jamani huu ni mwezi wa 3 sasa,hali si hali wandugu,anayejua msaada wowote hata tiba mbadala wandugu,hali mbaya

Upo mkoa gani mkuu??
pole sana,
 
nictbb badili kazi inawezekana kazi uko kwenye "tension" ya hali ya juu kiasi muda wote unafikiria tuu kazi; niliwahi kuna na tatizo kama lako nilikuwa siwezi kunywa aina yoyote ya soda; nilipoacha kazi na kuamua kujiajiri sasa hivi nakunywa aina zote za soda bila tatizo
 
Last edited by a moderator:
Nenda kwenye hosp za wachina wao ni kiboko
 
Back
Top Bottom