Jamani anayeweza anipe msaada wa haraka,nasumbuliwa na tumbo,nkikaa kwa muda bila kula,tumbo laniuma sana,pia najisaidia choo chenye damu,meenda hospitali nkaambiwa ni vidonda vya tumbo,metumia dawa za hospitali mpaka nimechoka,nimepata ahueni kidogo,ila tatizo kwa sasa,napata burn juu ya tumbo karibu na kifua,hasa nikila au nikinywa chochote cha moto,siwezi kukaa kwenye joto,wala kutembea juani,nkikaa kwenye ac napata ahueni.Jamani huu ni mwezi wa 3 sasa,hali si hali wandugu,anayejua msaada wowote hata tiba mbadala wandugu,hali mbaya