MR.NOMA
JF-Expert Member
- Feb 1, 2014
- 339
- 505
Wakuu kwema! Hali ya bei za vyakula inatishia kwelikweli, mawaziri husika hawaoneshi jitihada zikaeleweka na bei zikashuka kwanini wasijipime na wakaamua kutupisha na Ili tupate watu wanaoweza kudhibiti Hali hii.
1. Mchele 3000-4000/-
2. Maharage zaidi ya 3500/-
3. Unga zaidi ya 2000/-
4.Nk.
Kama mahindi,mpunga,maharage na ivo vingine vyote vinalimwa hapa nchini, kwanini tulishindwa kudhibiti usafirishaji wa bidhaa hizi nje tangu mapema na Sasa wananchi wanateseka? Kwa hili inatakiwa mawaziri husika wajitathmini.