Thomas JM JF-Expert Member Joined Feb 10, 2012 Posts 215 Reaction score 225 Feb 25, 2024 #1 Hali ya huduma Hospitali ya Mkoa Temeke ni mbaya sana Nimekuja na mgonjwa ni zaidi ya dakika arobaini hakuna huduma yoyote, vyumba vya madaktari viko wazi, Waliopo wanadai kila mmoja sio zamu yake. Wagonjwa tuliopo hapa hata hatuwaelewi, wengine hawajui wanasaidiwa na nani na wanasaidikaje...... Kuna haja ya mamlaka husika kuingilia kati hili suala... Waache kufanya kazi kimazoea na kutegeana.
Hali ya huduma Hospitali ya Mkoa Temeke ni mbaya sana Nimekuja na mgonjwa ni zaidi ya dakika arobaini hakuna huduma yoyote, vyumba vya madaktari viko wazi, Waliopo wanadai kila mmoja sio zamu yake. Wagonjwa tuliopo hapa hata hatuwaelewi, wengine hawajui wanasaidiwa na nani na wanasaidikaje...... Kuna haja ya mamlaka husika kuingilia kati hili suala... Waache kufanya kazi kimazoea na kutegeana.
Leejay49 JF-Expert Member Joined Feb 10, 2023 Posts 16,388 Reaction score 51,970 Feb 25, 2024 #2 Duuh
Ndondombi Mulin JF-Expert Member Joined Mar 13, 2016 Posts 413 Reaction score 1,868 Feb 25, 2024 #3 Thomas JM said: Kuna haja ya mamlaka husika kuingilia kati hili swala... Click to expand... Failed State. Mamlaka zinamsubiri mwenezi Makonda afike hapo apoke kero ndio watatue. Nenda kapate huduma Private Hospital, Lawama hazitakupatia Huduma Mkuu.
Thomas JM said: Kuna haja ya mamlaka husika kuingilia kati hili swala... Click to expand... Failed State. Mamlaka zinamsubiri mwenezi Makonda afike hapo apoke kero ndio watatue. Nenda kapate huduma Private Hospital, Lawama hazitakupatia Huduma Mkuu.
Erythrocyte JF-Expert Member Joined Nov 6, 2012 Posts 128,308 Reaction score 245,426 Feb 25, 2024 #4 Ohoooooo
mngony JF-Expert Member Joined Jul 27, 2012 Posts 5,555 Reaction score 6,972 Feb 25, 2024 #5 Doh pole sana Mkuu, umeshapatiwa mpaka sasa?