Hali mbaya ya maisha wengi tunayopitia ni mapito kuelekea maendeleo ya kweli au tunapotezeana malengo na muda?

MaCCM akili zao azinaga akili kabisa, Mtupoli hawezi kuleta maendeleo yoyote.
Rais ambaye hajui KIDHUNGU anayatoa wapi hayo maendeleo?!
Ni kupotezeana muda tu.
 
Ufunge mkanda halafu mtu anajenga kwao jumba la mbuzi kwa biliioni
 
Usilete siasa. katika uhalisia wake hivyo vitu havipo. Tunahitaji uhuru Zaidi ili watu wajinga kama wewe wanaosema vitu Fulani vipo wakati havipo saa nyingine tuwanyonge
Vijiji gani vina maji? pita wilaya ya Busega ,vijiji vipo kando tu ya ziwa Victoria na havina maji, sasa ni vijiji gani hivyo vyenye maji.
Wanavijiji wengi wanatumia visima vya asili ambavyo ni hatari kwa afya lakini hawana jinsi
Acha kebehi za kisiasa
 
Acha kuwasikiliza hawa wanasiasa utapotea tuu
 
Hivi uwa mnapata nguvu wapi kusifia eti elimu imeboreshwa? huwa siwaelewi.
 
Fungu mkanda, pambana mpaka kieleweke. Hakuna vya bure duniani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…