Jile79
JF-Expert Member
- May 28, 2009
- 17,668
- 13,263
Acha watu wajue ukweli kwanza..............maamuzi baadaye watakapokubali kukataa pilau na pombe za kienyeji za ccm...
ni lazima maovu ya ccm yaanikwe ili watu wajue kuwa hakifai, ili wapate sababu ya kukiacha chama hiki kinachokumbatia mafisadi. Wananchi wana haki ya kujua uchafu wa ccm ili wafanye uchaguzi uliokwenda shule!