Hali ngumu ya maisha, Afisa wa polisi ajiua kwa kujipiga risasi Jomo Kenyatta (JKIA)

Hali ngumu ya maisha, Afisa wa polisi ajiua kwa kujipiga risasi Jomo Kenyatta (JKIA)

Ghazwat

JF-Expert Member
Joined
Oct 4, 2015
Posts
23,718
Reaction score
66,267
1472157204276.jpg
Afisa wa polisi Caudencia Wausi alimejiua kwa kujipiga risasi kichwani katika uwanja wa ndege wa Jomo Kenyatta (JKIA) muda mfupi baada ya kuchapisha ujumbe wa kuashiria kuwa na mahangaiko maishani.

Koplo Caudencia Wausi alitumia bastola yake aina ya Jericho kujifyatulia risasi kichwani ndani ya choo dakika 13 tu baada ya kuchapisha ujumbe katika mtandao wake wa Facebook.

"Maisha ni magumu unapoishi katika ulimwengu ambapo kila mtu anapanga kukufanyia maovu.. na utafanya nini wakati ambapo huwezi kuvumilia au hauna uwezo wa nguvu za kuwatia nguvu wapendwa wachache katika maisha yako.!? hauna lingine la kufanya ila... kwa hivi nisadie Mungu "aliandika kwenye Facebook.

Kwa mujibu wa mkubwa wake, Bi Wausi alikuwa amerudi kazini kutoka mapumzikoni kabla ya kujiua baada ya kujifungia chooni, JKIA.

Inadaiwa alijifungua mkanda wake wa polisi na kuuacha katika chumba cha Control Room pamoja na fimbo yake kabla ya kujifungia chooni.

"Tulisikia tu mlio wa risasi na baadaye tukampata juu ya choo huku bastola yake ikiwa mkononi, alikuwa tayari ameaga dunia "alisema kamanda wa polisi katika uwanja wa ndege Rono Bunei.

Bwana Bunei alisema kisa hiki kimeshtua wenzake kwasababu afisa huyo hakuwa na dalili za kusongwa na mawazo.

" Alikuwa anapiga gumzo na wenzake asubuhi na nilimuona mwenye furaha, hakuonyesha dalili zozote za kuwa na mahangaiko "alisema Bw Bunei na kuongeza kuwa uchunguzi umeanza kubaini kilichosababisha afisa huyo kujiua.
 
hapa ndio nimeelewa maneno ya mjeshi mmoja alikuwa na cheo katika kambi moja hapa nchini alishawahi kunambiwa katika watu wenye wakati mgumu kwenye majeshi ni wanawake kwani hutakiwa kwa nguvu kuanzia na viongoz wa jeshi na viongoz wa serikali wanapowatembelea sasa hili ndio balaa walilokuwa nalo.
 
Ni kweli mkuu.
 
Duh, apumzike pema peponi, ila kwa jinsi alivyo mzuri, itakua mijitu ya kiume kwenye jeshi la polisi ilimzingua sana.
na hv kenya kuna uhaba wa wanawake wazuri tabu kweli kweli
 
Duh, apumzike pema peponi, ila kwa jinsi alivyo mzuri, itakua mijitu ya kiume kwenye jeshi la polisi ilimzingua sana.

Angeondoka na hiyo mijitu japo mmoja akawapa fundisho mijitu mingine
 
na hv kenya kuna uhaba wa wanawake wazuri tabu kweli kweli

Wabongo mnafaa darasa linapokuja suala la kuheshimu na kuwapenda wanawake. Hufai kumbagua yeyote, hawa viumbe wameumbwa kwa ajili yetu wanaume, cha msingi ni dushe lako liwe imara muda wote. Tatizo mkishindwa kutimiza, mnaanza mambo ya Ukenya na Tanzania hata kwa mademu. Na ndio maana tunawabeba mademu wenu wote kuanzia Rombo hadi Dar...heheheh

Kipenda roho, hula nyama mbichi....

wale wanawake waliokua wana andamana huko kenya sababu ilikua nini ?
 
Wabongo mnafaa darasa linapokuja suala la kuheshimu na kuwapenda wanawake. Hufai kumbagua yeyote, hawa viumbe wameumbwa kwa ajili yetu wanaume, cha msingi ni dushe lako liwe imara muda wote. Tatizo mkishindwa kutimiza, mnaanza mambo ya Ukenya na Tanzania hata kwa mademu. Na ndio maana tunawabeba mademu wenu wote kuanzia Rombo hadi Dar...heheheh

Kipenda roho, hula nyama mbichi....

Kua mkweli! Chuki iliyokithiri ndio inasababisha wengi wa mademu zenu wawena sura za kutisha. Mnatakiwa mpendane, wakikuyu wawaoe wajaluo ba makabila mengine.

Rip dada, ila pole sana kwa maisha mabovu uliyokua nayo huko kenya na wengine wengi huko kenya bado eanamaisha ya taaabu zaidi yako.

ila tunasikitika sana baadhi ya Wakenya wanavyo jidai mitandaoni kua wanamaisha mazuri wakati hali mbaya mno. Usikute alikua na njaa na pia kachoka sukumawiki.
 
Back
Top Bottom