Hali ngumu ya maisha na tunavyoishi Kwa mazoea.

Hali ngumu ya maisha na tunavyoishi Kwa mazoea.

Bro mimba zinatokea kwa kupanga au ni kudra za Mungu, hivyo huwezi KUZUIA uzazi bila kutumia njia mbadala na watu hawazitaki
Huyo Mungu hata hayupo, mnasingizia tu.

Hiki la kusingizia Mungu mambo mnayofanya wenyewe ni tatizo kubwa sana nalo.
 
Huyo Mungi hata hayupo, mnasingizia tu.

Hiki la kusingizia Mungu mambo mnayofanya wenyewe ni tatizo kubwa sana nalo.
Kwani watu wote wanazuia uzazi kitaalamu, wengi wanatumia majira
 
Maisha ni ishu ya kuwekeza kwenye akili tu mfano kuna anaetumia bando kujifurahia na anaetumia bando kuingiza pesa, kuna anaetumia mitandao ya kijamii kujifurahia na anaetumia mitandao ya kijamii kuingiza pesa anaetumia simu kujipost na anaetumia simu kupost matangazo.
Simu yako office yako
 
Back
Top Bottom