Huyo Mungu hata hayupo, mnasingizia tu.Bro mimba zinatokea kwa kupanga au ni kudra za Mungu, hivyo huwezi KUZUIA uzazi bila kutumia njia mbadala na watu hawazitaki
Kwani watu wote wanazuia uzazi kitaalamu, wengi wanatumia majiraHuyo Mungi hata hayupo, mnasingizia tu.
Hiki la kusingizia Mungu mambo mnayofanya wenyewe ni tatizo kubwa sana nalo.
Vyovyote vile lakini kulaumu mipango ya Mungu ni kutafuta chaka la kujifichia tu.Kwani watu wote wanazuia uzazi kitaalamu, wengi wanatumia majira
Mungu hausiki na chaguzi zetu ametupa freewill kamiliki na ukatawaleVyovyote vile lakini kulaumu mipango ya Mungu ni kutafuta chaka la kujifichia tu.
Hata huyo wa kutupa freewill hayupo, tumemtunga wenyewe tu.Mungu hausiki na chaguzi zetu ametupa freewill kamiliki na ukatawale
Mada zako hizi huwa nazielewa Sana tatizo hawa wachamungu hutowawezaHata huyo wa kutupa freewill hayupo, tumemtunga wenyewe tu.