Mwizukulu mgikuru
JF-Expert Member
- Oct 21, 2021
- 6,788
- 16,227
Ni swali nimelipata kwenye mjadala wa kahawa au ni dalili za kifo..
Maoni ya Mdau
HALI NGUMU YA UCHUMI KWA MTU BINAFSI HUJA NA PACKAGE:
1. Kutengwa
2. Kutosikilizwa
3. Kudharauliwa
Tukubaliane na hali halisi na tuishi Kwa matumaini ktk msalaba huo.