Hali ngumu ya uchumi anayoipitia mtu inaweza kuwa sababu ya kutengwa?

Kwa haraka unaweza kusema ndiyo, ila kile chanzo cha wewe kuwa kwenye huo ugumu huwa ni kinapeleka mashambulizi mbali zaidi.

Kwa maana nyingine mkwamo wa uchumi na kukataliwa huwa ni dalili mojawapo tu kati ya nyingi zinazoashiria tatizo fulani.
 
HALI NGUMU YA UCHUMI KWA MTU BINAFSI HUJA NA PACKAGE:
1. Kutengwa
2. Kutosikilizwa
3. Kudharauliwa
Tukubaliane na hali halisi na tuishi Kwa matumaini ktk msalaba huo.
 
Ni huku niliko ama na kwingine yaan mtu mwenye gar au usafiri ananyenyekewa na kupewa kipaumbele

Kama huna hata jamii itakayokuzunguka ni jamii yako yawasio nacho mwendo wa kukaa na kupeana moyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…