NetMaster
JF-Expert Member
- Sep 12, 2022
- 1,454
- 4,925
Wengi huwa wanaambulia html tena ile basic kabisa, wachache angalau wataongezea php, javascript, wachache sana hawa wenye passion ndio wataingia mpaka kwenye python, c#, c++, java... Hapa nazungumzia kuelewa kwa lengo la uundaji na ubunifu sio kukariri tu kwajili ya test kisha baada ya hapo vina evaporate.
Na ndio maana hapa bongo apps ni chache sana za kibunifu, wengi huishia ku edit tu templates, hapa utakuta apps za habari na mziki karibu zote zimefanana sababu ni template moja inaeditiwa, nakumbuka pia hapo miaka ya nyuma kuna jamaa wa chuo xxx alikopi template ya facebook akauita mtandao wake ----.com, ni mambo ya ajabu.