Mi naona wanafunzi vyuoni wanapimwa sana theory, yani ni theory inaua sanaMkuu NetMaster sema nini kifanyike? Maana sidhani kama practicals zinafanyika za kutosha huko vyuoni. Ishu kubwa inaanzia hata kwa wakufunzi hawana hata profile za github unazoweza kuona projects na nini wamefanya, ishu ni kukariri output tu .
Insbort mtu ajiongeze tuuu hamna kufuatiliana hapa wote waliogundua vitu vya muhimu waliamua wenyewe ku dig deep mkuuu hamna jipya hapoMi naona wanafunzi vyuoni wanapimwa sana theory, yani ni theory inaua sana
Nina wadogo zangu hapa karibu na chuo mojawapo chenye kozi ya IT huwa tukipiga story za IT wananiambia huko chuoni practicle ikiwa na marks nyingi sana basi ni 10%, zinazobaki ni theory tu tena kwa maswali yale ya kukomoana hayapo direct mithiri ya cpu ni ukoko wa computer, hebu kwangu, damn!!! hapa mwanafunzi inabidi atumie muda mwingi kujibu maswali ya theory
Ingependeza kuwe na practicles za kutosha na maswali ya theory yawe direct
ni kweli, kujifunza pekeyako nako kunasaidiaInsbort mtu ajiongeze tuuu hamna kufuatiliana hapa wote waliogundua vitu vya muhimu waliamua wenyewe ku dig deep mkuuu hamna jipya hapo
Ooh vizur mkuuu shida watu wanapenda kutafuniwa kila kitu ndo maana wanatoka vyuoni wapo empty ni bora wangeambiwa na kuaminishwa kuwa inabidi ujifuatilie mwenyewe kwenye career yako hamna mtu atakuambia fanya a,, au fanya b au c hamna kitu kama hicho mkuuuuni kweli, kujifunza pekeyako nako kunasaidia
hata mimi Binafsi niliishia form 4, kazi useremala since then ila nipo interested sana na mambo ya IT so huwa napenda jifunza mtanadoni.... vitu kama html, css na java script kwa mbali najipigia tu.... mambo ya kushusha torrents, ku root simu, kupiga windows, ku assemble pc, n.k. naweza fresh, Madogo wengi nao wananikubali si haba, nipo fresh tu na ndio huwa kinanikutanisha sana na hao madogo
PRACTICLES ZINA UMUHIMU SANA
Kazi usele mara endelea tu na usele mara, hivi we umebuni nini chenye maana kumzidi yule mzee wa Bunju anaeandika maandishi kwenye mbao kwa kutumia Maya bila mtu kujua kua kilichoandikwa pale ni maandishi Ila kwa mfumo wa maua ? We si ni yule jamaa Sele mara mlevi tuliekupangisha kwetu hujaoa Ila una mtoto mmoja anaeishi na mama yake ?hata mimi Binafsi niliishia form 4
Mbona umenijibu bila staha, kuna sehemu labda nimejikweza kwamba mimi ni bora ? kuniponda mimi ni fundi seremala kuna husiana vipi na maada hii na unajua pesa nayoingiza ama sehemu naishi hadi uanze kunipikia hayo majungu ?Kazi usele mara endelea tu na usele mara, hivi we umebuni nini chenye maana kumzidi yule mzee wa Bunju anaeandika maandishi kwenye mbao kwa kutumia Maya bila mtu kujua kua kilichoandikwa pale ni maandishi Ila kwa mfumo wa maua ? We si ni yule jamaa Sele mara mlevi tuliekupangisha kwetu hujaoa Ila una mtoto mmoja anaeishi na mama yake ?
Uwe na nidhamu na taaluma za watu mkuu, of course yes kuna changamoto unakuta mwanafunzi yupo nondo kumzidi anaemfundisha kifuatacho ni competition, practical ni vifaa hilo inabidi uelewe unapozungumzia app na website haiihitaji vifaa lundo wala nini ni bundle na WiFi tu inatosha, wanafunzi hufundishwa kuanzia chini kabisa HTML, CSS, Visual Basic, Excel km Excel, Java km Java, C#, C++, JavaScript, PHP, Python unaweza ukapasuka mwenye na akina Django, sasa wewe selemala unajua nini maana ya practicals? Unaposema wanatumia templates sio kweli kuna wadau kibao wamebuni apps zipo play store ubaya wa wabongo hawapendi vya kwao, niliona kuna website moja ya shule moja maarufu sana Mjini Dar nikaambiwa jamaa alieunda ile website alifanya kazi Chuo fulani ni website moja kali sana ameunda kwa kutumia Excel, pia ameunda website ya Chuo fulani maarufu, sasa wewe unataka kusemaje moja Kati ya kazi za vijana wa bongo Ila zinatumiwa na wamarekani ni hii wabongo wanadharau vya kwaoView attachment 2590357
Mi mwenyewe nimemshangaa sana aseeeSasa mkuu kuniponda mimi ni fundi seremala kuna husiana vipi na maada hii, au kuna sehemu labda nimejikweza kwamba mimi ni bora ? kutia chumvi na kupikia majungu life langu for what, hili jukwaa la udakunology ?
Mimi niweweka mjadala wa uhalisia na ninajua kwamba watu huko byuoni wanafundishwa hizo c#, c++, python, n.k. ila sasa wengi wanaishia kujifunza kwa namna ya kujibu tu definitions, principles, andantages, n.k. kwenye paper na ndio inakuwa imeisha hio maana hata walimu wanalazimisha iwe hivyo ukijibu paper kwa mawazo yako unakula mkasi inabidi ujibu kama ilivyo kwa notes zao kitu amacho kinaonesha kwamba na walimu wengi hawaelewi ndio maana wanataka ufatilize kujibu kama kwenye notes wanazotoa.
Halafu huyo jamaa ulieweka app yake ni hao wachache sana nilowazungumzia, Big up kwake anafanya kazi benki ila hajabweteka,
Elimu ya bongo ukitegemea darasani imekula kwako..lazma ujiongeze wewe kama wewe ile sana.Certificate C programming + HTML, Diploma C na Java kidogo bila kusahau Web development deeply, ukija Bachelor unapigwa kachumbari moja hatari.. Data structure yenyewe unarudishwa tena kwenye C.
Cha ajabu mnafundishwa kutafuta "sum of two integers" na code zingine ambazo zote interface ni terminal tu! Motivation itatoka wapi?!?
Wengi huwa wana ndoto za kusoma IT wakiwa na mzuka wa kufanya vitu vikubwa tu, inspired by great men waliotusua kwenye sector hiyo.
WanaoExcel ni wanaojiongeza kutafuta knowledge mbali na kinachofundishwa darasani!
ILA BADO SIJAJUA KIFANYIKE NINI[emoji28]