Hizi tabia za kudhihaki wenye shida zinazidi sasa, muda mwngne kama huna Cha kusadia hata kimawazo ni bora upige kimya tuMkuu ajira milioni 6 hukupata [emoji1787]
Kuna miradi mingi ya Maendeleo kama Flyover, Stigler's gorge, SGR, bomba mafuta n.k huko kote ajira kibaooooo.
Anyway tuko UCHUMI WA KATI. Nchi inapaa kuzidi "URAYA" au ulikuwa mpiga deal.
Wewe ni nani wa kunipangia cha kuandika humu ?Hizi tabia za kudhihaki wenye shida zinazidi sasa, muda mwngne kama huna Cha kusadia hata kimawazo ni bora upige kimya tu
Mkuu ajira milioni 6 hukupata 🤣
Kuna miradi mingi ya Maendeleo kama Flyover, Stigler's gorge, SGR, bomba mafuta n.k huko kote ajira kibaooooo.
Anyway tuko UCHUMI WA KATI. Nchi inapaa kuzidi "URAYA" au ulikuwa mpiga deal.
Ifungue akili yako kutoka kwenye mnyororo wa ajira
aisee, hadi ichi ?Murzah one
Sasa ndio ushangae maana hao MURZAH wanatengeneza mafuta ya kula, tambi na sabuni.aisee, hadi ichi ?
Ndo maana natafuta kazi za viwandani nipate mtaji nijiajiri japo mpaka nipate mtaji itabidi nifanye kazi si chini ya miezi sita mbaya zaidi hata huko viwandani tunapotegemea tujichange tupate mtaji napo pagumu.Inaonekana unapenda kazi za kuajiliwa!!jichange ujiajiri.
Moja ya kazi ngumu sana kuwahi kuwepo duniani!Mkuu Rudi Kijijini ukalime
duh aiseeMurzah two ni wiki ya 2 imefungwa,Murzah one ni mwezi sasa.
Murzah inayofanya kazi ni Murzah four.
Baadaye saa 2 usiku nitaenda Murzah 2 kuangalia kama kimeshafunguliwa.
Niajiri mkuuIfungue akili yako kutoka kwenye mnyororo wa ajira