Na kile kiwanda cha kutengeneza sufuria Ocean Aluminum karibu na Murzah 2 bado kinafanya kazi?Murzah two ni wiki ya 2 imefungwa,Murzah one ni mwezi sasa.
Murzah inayofanya kazi ni Murzah four.
Baadaye saa 2 usiku nitaenda Murzah 2 kuangalia kama kimeshafunguliwa.
Mkuu ajira milioni 6 hukupata [emoji1787]
Kuna miradi mingi ya Maendeleo kama Flyover, Stigler's gorge, SGR, bomba mafuta n.k huko kote ajira kibaooooo.
Anyway tuko UCHUMI WA KATI. Nchi inapaa kuzidi "URAYA" au ulikuwa mpiga deal.
Huwa mnauliza tu , me nilihitaji laki na hamsini watu waka mute tu. Hakuna aliyekuja pmUnahitaji kiasi gani cha mtaji?
si unajua JF, baadhi ya njemba zinataka zionekane vibopaHuwa mnauliza tu , me nilihitaji laki na hamsini watu waka mute tu. Hakuna aliyekuja pm
Sent using Jamii Forums mobile app
Cc WordsworthMkuu Rudi Kijijini ukalime
Daa inasikitisha Sana maana jomba anasema anahitaji miezi sita hili aweze kuipata hiyo elaHuwa mnauliza tu , me nilihitaji laki na hamsini watu waka mute tu. Hakuna aliyekuja pm
Sent using Jamii Forums mobile app
Wapi huko?Njoo tulime huku Mkuu.
Asikae tu kwenye njia za waenda kwa miguu.
Unatoa picha halisi kabisa ya hayo maeneo ... umenikumbusha mbali sana mkuuHali ya sasa ya kimaisha hairidhishi hata kidogo. Kimbilio la vijana wengi lilikuwa ni viwandani ila kwa sasa hata huko viwandani kazi hakuna.
Viwanda vingi uzalishaji ni mdogo mno kiasi kwamba hata wale vibarua permanent nao hawapati nafasi ya kuingia kazini
Viwanda vingine navyo vimefungwa na haijulikani lini wataanza tena kufanya kazi.
Vile viwanda ambavyo miaka ya nyuma vilikuwa vikikimbiwa na watu kisa ugumu wa kazi navyo siku hizi hata ukienda hupati nafasi maana kumejaa
Mfano mzuri ni kiwanda cha nondo kilichopo Jeti siku hizi nafasi ni adimu mno. Viwanda vingine vibarua wazoefu hawataki kuachia nafasi wanaunga shift usiku na mchana hawataki kutoka.
Viwanda vingine hawakupokei mpaka uhonge au uwe na mtu anayekujua mf kiwanda cha Pepsi ,Jambo ,kiwanda cha kioo,serengeti nk
Viwanda vingi sana vimefungwa mf Kiwanda cha Jumbo,Murzah one.Murzah Two.
Vibarua wanakimbilia Murzah four napo kazi hakuna uzalishaji mdogo mno.
Kiwanda kingine ni kiwanda cha samaki ila napo wanachukua idadi ndogo mno haswa wale wazoefu na wanawake
Kiwanda cha rasta napo siku hizi pagumu mno.
Vijana tunakufa njaa
Asiuze dodoki.π€£π€£Asikae tu kwenye njia za waenda kwa miguu.
ππππAsiuze dodoki.π€£π€£
Kwa jinsi unavyowachukia sidhani kama umeshawahi kuwaungisha.
Ila itoshe kusema SAFARI BADO.
Sio rahisi kiivo mkuu , kwa mtu aanyeanza huo ni mchakato mwingineIfungue akili yako kutoka kwenye mnyororo wa ajira
Ina maana kuna magumu yanakuja zaidi ya haya??Mlikataa wokovu mkachagua mataputapu,unapoweka mataputapu madarakani kuna price to pay!The worst is yet to come folks!