Wangari Maathai
JF-Expert Member
- Aug 13, 2018
- 34,958
- 70,721
Niliweka kinyongo mwaka umefika ..niliumia sana, ila nimesema tu tumekusamehe, nimetumia uwingi sijui kwa mwenzangu naye aloitwa tapeli..mimi nimemsamehe, ni mdogo wangu huyu...peace n loveNeno zuri sana hili kusikia....
...linamfanya muhanga au mtenda ajisikie vizuri baada ya kuwa ndani ya hukumu kwa kitambo, linamfanya mtendwa ajisikie ukiachilia kitu moyoni...waoooh how such a good state of mind.
I can feel the power of love moving around.
Aisee....unafahamu hatukuumbiwa kuwa na kinyongo ila inabidi tu kwa sababu ya mawazo na mipaka tunayojiwekea ya kufikiri?.Niliweka kinyongo mwaka umefika ..niliumia sana,ila nimesema tu tumekusamehe nimetumia uwingi sijui kwa mwenzangu naye aloitwa tapeli..mm nimemsamehe ni mdogo wangu huyu...peac n lov
Unauza wapi na mahindi/nyanya vinaoza sokoni,Mkuu Rudi Kijijini ukalime
Hatuwezi sote kuwaza kujiajiri, nchi haitosonga, nchi inahitaji makundi yote hata akijiajiri naye pia itafikia hatua atahitaji wa kuajiri. Sasa kama wote tutawaza kujiajiri, nani atamuajiri mwenzie?? Suala ni fikiria best possible solution siyo majibu ya jumla kwa swali la rejarejaInaonekana unapenda kazi za kuajiliwa!!jichange ujiajiri.
Naamini pia🥰Aisee....unafahamu hatukuumbiwa kuwa na kinyongo ila inabidi tu kwa sababu ya mawazo na mipaka tunayojiwekea ya kufikiri?.
Hongera sana kwa kuondoa sumu mwilini nina hakika umejiongezea life span kwenye dimension hii.
Great step.
Pole...utaiona soonHali ngumu dada , ninaomba univushe elfu 5 nikale.0683483284
Pole...utaiona soonHali ngumu dada , ninaomba univushe elfu 5 nikale.0683483284
Huu mtandao gan...Hali ngumu dada , ninaomba univushe elfu 5 nikale.0683483284
Nimetuma muda..jina lako nimeona ni S! Kama sio semaHali ngumu dada , ninaomba univushe elfu 5 nikale.0683483284
Uko sawa kabisa mkuundugu yetuMitano tena.
Au nasema uongo ndugu zanguuuu!
Uko sawa kabisa mkuundugu yetu
??🤷♂️Hali ngumu dada , ninaomba univushe elfu 5 nikale.0683483284
Hivi mnadhani kila mtu aliipigia kura ccm?Tumeitaka wenyewe, tumeipenda wenyewe.
Mshukuru sana Mungu, Narudia tena mshukuru sana Mungu.Hivi guys mi mbona maisha yangu hayajabadilika, nlivyoishi zamani ndio nipo vilevile, huu ulalamishi huwa siuelewi kabisa
AiseeeMuulize Baba yako kwa nini alikuzaa, sio utuletee upuuzi wako hapa