Hali ni mbaya tumwombee Lunyamila anapumulia mashine mwananyamala

Apone haraka lakini viongozi wa.Yanga na Serikali kupitia(Wizara ya Michezo,Habari na Utamaduni). Wamsaidie mchezaji huyo

Thamani ya mtu isiwe pale anapotumika tu.
Anapoumwa anatelekezwa namna hii.

"""Mungu ni MwemA"""

Na watumishi wa umma waliostaafu wakipatwa na matatizo serikali pia iwasaidie. sio Lunyamila kwa kuwa tu alikuwa ana jina kubwa.

Kiukweli Yanga na TFF ndo wanapaswa kumsaidia Lunyamila. Ameisaidia sana Yanga, sioni mafanikio yake Taifa stars kama walivofanya kina Jella Mtagwa ambao pia wametelekezwa.

Milioni 99 za mtani jembe walizochukua Yanga situmike kumsaidia huyu star wa zamani.

Ugua pole swahiba, mate na mtani wangu lunyalunya.
 
Napośikia habari za Lunyamila, namkumbuka sana bro Method Mogella. Endelea kupumzika kwa amani bro. Bado nakukumbuka sana bro. Lunya pia anakukumbuka naamini. Those days.... OMG!!!!
 
Get well soon uncle Lunya

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 
Ee data bhuja, utuheleze ughukila ku mwana wawe Edi.
 
Pole sana lunyamila,Mungu akuponye,na hivi mkeo mama lulu alifariki 2008 RIP Mwajuma.Pona haraka Eddy
 
Pole sana lunyamila,Mungu akuponye,na hivi mkeo mama lulu alifariki 2008 RIP Mwajuma.Pona haraka Eddy

Jamani mtu tia maji tia maji anapumulia mashine halafu mnamfariji hivi..mhhhh
 
Pole Edibil pona haraka katika jina la bwana Ameen.
 
Ee data bhuja, utuheleze ughukila ku mwana wawe Edi.
 
Get well man, fight like u have been doing in the pitch, this time for your health
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…