Asprin
JF-Expert Member
- Mar 8, 2008
- 68,223
- 96,083
Apone haraka lakini viongozi wa.Yanga na Serikali kupitia(Wizara ya Michezo,Habari na Utamaduni). Wamsaidie mchezaji huyo
Thamani ya mtu isiwe pale anapotumika tu.
Anapoumwa anatelekezwa namna hii.
"""Mungu ni MwemA"""
Na watumishi wa umma waliostaafu wakipatwa na matatizo serikali pia iwasaidie. sio Lunyamila kwa kuwa tu alikuwa ana jina kubwa.
Kiukweli Yanga na TFF ndo wanapaswa kumsaidia Lunyamila. Ameisaidia sana Yanga, sioni mafanikio yake Taifa stars kama walivofanya kina Jella Mtagwa ambao pia wametelekezwa.
Milioni 99 za mtani jembe walizochukua Yanga situmike kumsaidia huyu star wa zamani.
Ugua pole swahiba, mate na mtani wangu lunyalunya.