Hali ni mbaya tumwombee Lunyamila anapumulia mashine mwananyamala

Hapo Beki 2 anakaba Kassongo Athuman.
4 na 5 wanamaliza Mustafa Hoza na George Masatu,

Winga teleza wako alikua hapiti kwenye huu ukuta. !!

Unaongea kujifurahisha wewe,nadhani umekisahau kizazi cha dhahabu cha wana Jangwani..
1.Mohamed Nyalusi
2.Sylivatus Ibrahim ''Polisi''
3.Kenneth Mkapa,Captain.
4.Mzee Abdalah
5.Said Mwamba Nassor Kizota,R.I.P
6.Salvatory Edward Augustino ''Doctor''
7.Akida Makunda
8.Abdul Maneno
9.Mohamed Hussein ''Machinga''
10.Nonda Shaaban Papii
11.Edibilly Jonas Lunyamila a.k.a Winga Tereeeza.
Hapo bench kuna...
Victor Kalokola
Sekilojo Chambua
Sanifu Lazaro Tingisha
Maalim Saleh Romario
Ally Yusuph Tigana
 

1) Mohammed Nyalusi simkumbuki huyu. Labda sababu Yanga hainaga Historia ya kua na Makipa wazuri, haijawahi kutoa "Tanzania One" miaka hii ya karibuni.
5) Kizota (RIP) aliwika zaidi akiwa Namba 9 kuliko mkoba, Vipepsi kwa mabeki ndivyo vilivyomtoa.

Yote ya yote hiki kikosi chako ni feki tu, kombe pekee la nje ya Tanzania labda ni Chalenji Uganda ndio Lunyamila aliwasumbua. Hiki kikosi chako kilikua kikigusa mashindano ya Kimataifa kinaaga mapema tu. Kikosi bora kwa Tanzania kwa wakati huo kilikua ni kama ifuatavyo hapa chini.
1) Mwameja Mohamed,
2) Kasongo Athumani,
3) Twaha Hamidu,
4) Fikiri Magosso,
5) George Masatu,
6) Hussein Marsha,
7)Abdul Ramadhan ‘Mashine'
8) Ramadhani Lenny,
9) Malota Soma
10) Edward Chumila (Edo Boy)
11) Duwa Said,


Benchi kuna
Michael Paul,
George Lucas,
Bakari Iddi,
Razack Yussuf "Careca),
Madaraka Suleiman (Mzee wa Kiminyio)
Thomas Kipese (Uncle Tom)
 
Namtakia heri Lunya.Mungu ampe afya njema.
 



Hakika Mkuu Asprin
 
Hapo Beki 2 anakaba Kassongo Athuman.
4 na 5 wanamaliza Mustafa Hoza na George Masatu,

Winga teleza wako alikua hapiti kwenye huu ukuta. !!
Lunya alikuwa na uwezo wa kuwachambua wote hao labda Masatu ndo alikuwa noma
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…