Frank Wanjiru
JF-Expert Member
- Apr 12, 2012
- 22,719
- 40,739
Hapo Beki 2 anakaba Kassongo Athuman.
4 na 5 wanamaliza Mustafa Hoza na George Masatu,
Winga teleza wako alikua hapiti kwenye huu ukuta. !!
Unaongea kujifurahisha wewe,nadhani umekisahau kizazi cha dhahabu cha wana Jangwani..
1.Mohamed Nyalusi
2.Sylivatus Ibrahim ''Polisi''
3.Kenneth Mkapa,Captain.
4.Mzee Abdalah
5.Said Mwamba Nassor Kizota,R.I.P
6.Salvatory Edward Augustino ''Doctor''
7.Akida Makunda
8.Abdul Maneno
9.Mohamed Hussein ''Machinga''
10.Nonda Shaaban Papii
11.Edibilly Jonas Lunyamila a.k.a Winga Tereeeza.
Hapo bench kuna...
Victor Kalokola
Sekilojo Chambua
Sanifu Lazaro Tingisha
Maalim Saleh Romario
Ally Yusuph Tigana