Nikisoma ulichoandika nasikia uchungu sana! Najiuliza hawa watu wa aina hiyo wamelishwa nini hadi akili hazifanyi Nazi?Serikali ya wachawi . Just imagine that .halafu anasikika mburukenge mmoja anasema kidumu chama cha mapinduzi , tembeeni vifua mbereeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee, tuwapinge mabeberu and shit like that .
Nchi hiyo wajinga wengi
Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa umechukua uraia wa nchi gani mwanakwetu?Mimi ndio maana niliamua kubadili uraia kabisa . Kusema ukweli kwa mtu mwenye uelewa mpaka wa mambo . Huwezi kuvumilia us*nge unaoendelea humo . It's a shame
Sent using Jamii Forums mobile app
Different strokes for different folks.
Mimi libertarian. Hata kuwa na ID tu ni usumbufu.
Sent using Jamii Forums mobile app
nikikuonyesha utakubali?Ujinga gani?
Oooh my God!!Christmas haipo mwaka huu badala yake watoto watumie siku hiyo kuangalia JUMONG
nikikuonyesha utakubali?
Sawa. Sitaki kuongezewa kuwa carded na wadukuzi Tanzania huko.Basi kama unaishi Marekani utakuwa unasumbuka sana maana sidhani kama kuna nchi inayoizidi Marekani kwa watu wake kuwa ‘carded’.
Sijawahi nunua pombe sehemu yoyote ile bila kuonyesha ID!
Hata kwenye department stores ukitumia credit card unaombwa uonyeshe ID!
ujinga wako?Ujinga gani?
Yani sijui hela zimepotelea wapi sikuhizi mambo magumu sana
Cc Smart911
Sent using Jamii Forums mobile app
Asante kwa ushauri.Kiranga,
Aisee kama upo nje ya nchi basi nakuomba usirudi huku bongo maana haya sio maisha ni motoni....nawasihi mlioko huko nje endeleeni Kula maisha Tu
Kuna nchi zinategemea sana diaspora kwenye uchumi, kubana utumaji pesa wanatutesea familia zetu na wanapunguza uwepo wa fedha za kigeni ndani ya Tz.Sasa nimeelewa kwa nini tunaongoza kwa kuwa nchi ya watu wasio na furaha.
Kumbe imefikia Kiranga huko nje ukitaka kumpa furaha ndugu yako kwa vidola kadhaa unakumbana na vikwazo kama unataka kusaidia magaidi?
Mbona nchi kama Nigeria au Kenya RAIA wake walio nje ni moja ya vyanzo vikuu vya kuingiza fedha za kigeni? Hizi sio dalili kuwa serikali hii ya CCM haipendi watu wake? Kwa nini isiwalegezee masharti ya kuleta fedha nyumbani na wanyumbani kufaidika na ndugu zao walio nje?
Sent using Jamii Forums mobile app
pChakaza, Sikuu ya Uhuru iliahirishwa kwa tangazo, Christmas inaweza kuahirishwa kwa mzunguko wa fedha.
Kuna muandishi mmoja alikuwa anaandika kuhusu Uganda siku za utawala wa Idi Amin.
Akasema alivyofika Uganda ya Idi Amin aliona nchi tofauti. Waganda kawaida ni wacheshi, watu wenye furaha, lakini Uganda ya Idi Amin ilikuwa tofauti, imejaa majonzi na woga.
Sasa hivi mzunguko wa fedha mgumu.
Sawa, ndugu zenu tulioondoka hapo tuko nje tukawa tunadunduliza na kutuma hela kusaidia. Ukimtumia mtu dola za Marekani mia moja au mbili muda huu wa sikukuu anaweza kufanya maarifa makubwa ajisikie na yeye anaishi.
Mara paap, Benki Kuu imekata nafasi za kutuma hela moja kwa moja MPesa.
Tumewekewa masharti mapya kutuma pesa mpaka uruke viunzi kibao, utume picha na ID card. Hata maelezo yenyewe hayako clear.
Ili mradi usumbufu tu, hata kwa mtu anayetaka kutoa msaada.
Tanzania kwa sasa unaweza kusema unataka kuleta matrekta ya bure kusaidia wakulima, serikali ikakudai kodi hapo hapo!
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapi ndiyo nimefupisha.p
Jifunze kufupisha maelezo..... Unamchosha msomaji...
Kumbe ww wanakusomaga kama maandishi..... Ila chunga wasikusome kwa ndani huko sababu mabeberu hawachekagi na mapopoma ka ww...Hapi ndiyo nimefupisha.
Lini nilikuomba usome ninachoandika?
Nimekulazimisha wapi usome?
Ukiruka usisome ninachiandika utapungukiwa na nini?
Si lazima kunisoma.
Kwani nilikulazimisha kunisoma?
Unaweza kuniweka kwenye ignore list kabisa usione chochote ninachoandika, usichoke.
Utapungukiwa nini?
Kama unachoka kusoma post ya JF, utaweza kusoma Tolstoy's "War and Peace" ?
Fvck outta here.
Sent using Jamii Forums mobile app