Hali ni Ngumu Sana; Nimeulizwa Swali, Je Christmas ipo Mwaka huu au Imeahirishwa?

Hali ni Ngumu Sana; Nimeulizwa Swali, Je Christmas ipo Mwaka huu au Imeahirishwa?

Serikali ya wachawi . Just imagine that .halafu anasikika mburukenge mmoja anasema kidumu chama cha mapinduzi , tembeeni vifua mbereeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee, tuwapinge mabeberu and shit like that .

Nchi hiyo wajinga wengi

Sent using Jamii Forums mobile app
Nikisoma ulichoandika nasikia uchungu sana! Najiuliza hawa watu wa aina hiyo wamelishwa nini hadi akili hazifanyi Nazi?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Different strokes for different folks.

Mimi libertarian. Hata kuwa na ID tu ni usumbufu.

Sent using Jamii Forums mobile app

Basi kama unaishi Marekani utakuwa unasumbuka sana maana sidhani kama kuna nchi inayoizidi Marekani kwa watu wake kuwa ‘carded’.

Sijawahi nunua pombe sehemu yoyote ile bila kuonyesha ID!

Hata kwenye department stores ukitumia credit card unaombwa uonyeshe ID!
 
Basi kama unaishi Marekani utakuwa unasumbuka sana maana sidhani kama kuna nchi inayoizidi Marekani kwa watu wake kuwa ‘carded’.

Sijawahi nunua pombe sehemu yoyote ile bila kuonyesha ID!

Hata kwenye department stores ukitumia credit card unaombwa uonyeshe ID!
Sawa. Sitaki kuongezewa kuwa carded na wadukuzi Tanzania huko.
 
Jiwe anatumia style ya kuwaminya wananchi wasiwe na pesa ili aendelee kutawala,mwananchi akishiba anaanza makelele ya kisiasa akiwa na njaa mda mwingi yupo busy kutafuta kate hivyo ankali anakuwa anatawala vizuri.
 
Waambie Christmas hipo ,ila sherehe zake mwaka huu zimehairishwa na bajeti yake kwenda kugharamia Ada.
 
Sasa nimeelewa kwa nini tunaongoza kwa kuwa nchi ya watu wasio na furaha.
Kumbe imefikia Kiranga huko nje ukitaka kumpa furaha ndugu yako kwa vidola kadhaa unakumbana na vikwazo kama unataka kusaidia magaidi?
Mbona nchi kama Nigeria au Kenya RAIA wake walio nje ni moja ya vyanzo vikuu vya kuingiza fedha za kigeni? Hizi sio dalili kuwa serikali hii ya CCM haipendi watu wake? Kwa nini isiwalegezee masharti ya kuleta fedha nyumbani na wanyumbani kufaidika na ndugu zao walio nje?

Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna nchi zinategemea sana diaspora kwenye uchumi, kubana utumaji pesa wanatutesea familia zetu na wanapunguza uwepo wa fedha za kigeni ndani ya Tz.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Chakaza, Sikuu ya Uhuru iliahirishwa kwa tangazo, Christmas inaweza kuahirishwa kwa mzunguko wa fedha.

Kuna muandishi mmoja alikuwa anaandika kuhusu Uganda siku za utawala wa Idi Amin.

Akasema alivyofika Uganda ya Idi Amin aliona nchi tofauti. Waganda kawaida ni wacheshi, watu wenye furaha, lakini Uganda ya Idi Amin ilikuwa tofauti, imejaa majonzi na woga.

Sasa hivi mzunguko wa fedha mgumu.

Sawa, ndugu zenu tulioondoka hapo tuko nje tukawa tunadunduliza na kutuma hela kusaidia. Ukimtumia mtu dola za Marekani mia moja au mbili muda huu wa sikukuu anaweza kufanya maarifa makubwa ajisikie na yeye anaishi.

Mara paap, Benki Kuu imekata nafasi za kutuma hela moja kwa moja MPesa.

Tumewekewa masharti mapya kutuma pesa mpaka uruke viunzi kibao, utume picha na ID card. Hata maelezo yenyewe hayako clear.

Ili mradi usumbufu tu, hata kwa mtu anayetaka kutoa msaada.

Tanzania kwa sasa unaweza kusema unataka kuleta matrekta ya bure kusaidia wakulima, serikali ikakudai kodi hapo hapo!



Sent using Jamii Forums mobile app
p
Jifunze kufupisha maelezo..... Unamchosha msomaji...
 
p
Jifunze kufupisha maelezo..... Unamchosha msomaji...
Hapi ndiyo nimefupisha.

Lini nilikuomba usome ninachoandika?

Nimekulazimisha wapi usome?

Ukiruka usisome ninachiandika utapungukiwa na nini?

Si lazima kunisoma.

Kwani nilikulazimisha kunisoma?

Unaweza kuniweka kwenye ignore list kabisa usione chochote ninachoandika, usichoke.

Utapungukiwa nini?

Kama unachoka kusoma post ya JF, utaweza kusoma Tolstoy's "War and Peace" ?

Fvck outta here.



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hapi ndiyo nimefupisha.

Lini nilikuomba usome ninachoandika?

Nimekulazimisha wapi usome?

Ukiruka usisome ninachiandika utapungukiwa na nini?

Si lazima kunisoma.

Kwani nilikulazimisha kunisoma?

Unaweza kuniweka kwenye ignore list kabisa usione chochote ninachoandika, usichoke.

Utapungukiwa nini?

Kama unachoka kusoma post ya JF, utaweza kusoma Tolstoy's "War and Peace" ?

Fvck outta here.



Sent using Jamii Forums mobile app
Kumbe ww wanakusomaga kama maandishi..... Ila chunga wasikusome kwa ndani huko sababu mabeberu hawachekagi na mapopoma ka ww...
 
Back
Top Bottom