Hali ni Ngumu Sana; Nimeulizwa Swali, Je Christmas ipo Mwaka huu au Imeahirishwa?

Inasikitisha sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umechafukwaa.Samehe bwana
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umechafukwaa.Samehe bwana

Sent using Jamii Forums mobile app
To the contrary, hapo ndiyo kwanza nimetoka kuoga, hana wattage ya kunichafua.

Nampa "tough love" tu asipoteze kusoma watu ambao hawamvutii.

Watu wote hawa JF wanaandika, yeye bado anataka kumsoma mtu ambaye anarefusha habari tu?

Kwa sababu gani anafanya ujinga huo?
 

Kuingia tu some clubs pubs, supermarkets, hadi corner shop ukitaka kununua sigara, alcohol wanaomba ID, wazungu hawajui kutofautisha miaka yetu.

Halafu faini zao sio za mchezo mchezo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…