Hali ni Ngumu Sana; Nimeulizwa Swali, Je Christmas ipo Mwaka huu au Imeahirishwa?

Hali ni Ngumu Sana; Nimeulizwa Swali, Je Christmas ipo Mwaka huu au Imeahirishwa?

Chakaza, Sikuu ya Uhuru iliahirishwa kwa tangazo, Christmas inaweza kuahirishwa kwa mzunguko wa fedha.

Kuna muandishi mmoja alikuwa anaandika kuhusu Uganda siku za utawala wa Idi Amin.

Akasema alivyofika Uganda ya Idi Amin aliona nchi tofauti. Waganda kawaida ni wacheshi, watu wenye furaha, lakini Uganda ya Idi Amin ilikuwa tofauti, imejaa majonzi na woga.

Sasa hivi mzunguko wa fedha mgumu.

Sawa, ndugu zenu tulioondoka hapo tuko nje tukawa tunadunduliza na kutuma hela kusaidia. Ukimtumia mtu dola za Marekani mia moja au mbili muda huu wa sikukuu anaweza kufanya maarifa makubwa ajisikie na yeye anaishi.

Mara paap, Benki Kuu imekata nafasi za kutuma hela moja kwa moja MPesa.

Tumewekewa masharti mapya kutuma pesa mpaka uruke viunzi kibao, utume picha na ID card. Hata maelezo yenyewe hayako clear.

Ili mradi usumbufu tu, hata kwa mtu anayetaka kutoa msaada.

Tanzania kwa sasa unaweza kusema unataka kuleta matrekta ya bure kusaidia wakulima, serikali ikakudai kodi hapo hapo!



Sent using Jamii Forums mobile app
Inasikitisha sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umechafukwaa.Samehe bwana
Hapi ndiyo nimefupisha.

Lini nilikuomba usome ninachoandika?

Nimekulazimisha wapi usome?

Ukiruka usisome ninachiandika utapungukiwa na nini?

Si lazima kunisoma.

Kwani nilikulazimisha kunisoma?

Unaweza kuniweka kwenye ignore list kabisa usione chochote ninachoandika, usichoke.

Utapungukiwa nini?

Kama unachoka kusoma post ya JF, utaweza kusoma Tolstoy's "War and Peace" ?

Fvck outta here.



Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Basi kama unaishi Marekani utakuwa unasumbuka sana maana sidhani kama kuna nchi inayoizidi Marekani kwa watu wake kuwa ‘carded’.

Sijawahi nunua pombe sehemu yoyote ile bila kuonyesha ID!

Hata kwenye department stores ukitumia credit card unaombwa uonyeshe ID!

Kuingia tu some clubs pubs, supermarkets, hadi corner shop ukitaka kununua sigara, alcohol wanaomba ID, wazungu hawajui kutofautisha miaka yetu.

Halafu faini zao sio za mchezo mchezo.
 
Back
Top Bottom