Hali ni tete chuo cha ualimu korogwe

Hali ni tete chuo cha ualimu korogwe

Arstotle

Member
Joined
Jan 7, 2013
Posts
45
Reaction score
10
Bado hali ni ngumu chuo cha ualimu korogwe baada ya wanachuo kugoma kuchukua pesa za kujikimu kwa mafunzo ya vitendo yaani Btp hali hiyo imekuja baada ya kauli ya mkuu wa chuo kupisha kutoa taarifa zidhi ya ugawaji wa pesa ya Btp Hapo awali mkuu alieza kuwa btp ilitakiwa wanachuo wapo btp toka tarehe 23 mwezi tatu na kwamba wanachuo watapewa pesa zao Btp zote za siku 48 baadae wakuu wa idara ya btp wanakuja kutangaza kwamba btp inaanza tarehe 7 mwezi wa 3 mpaka tarehe 23 mwezi wa 4 na kupewa pesa za siku 23 kinyume naa taratibu za wizara paia inasadikika kuwa wizara ilitoa pesa za vifaa milion 58 lakini vifaa vilivyotolewa havifiki hata nusu ya pesa iliyo tolewa hali hiyo ilisababisha wanachuo kuandamana kutoka mabwenini kwao mpaka ofisi za chuo kupata ufafanuzi huku wakiimba nyimbo za ukombozi kama vipe people's power hata hivyo baada ya kufika chuoni mkuu alituhakikishia kupewa pesa zote za siku 48 tofauti na zile za siku 23 tulizoambiwa na wakuu wa btp tunaendelea kusubiri nitaupdate kila linajiri
 
Mtamuonea bure, nendeni mashuleni laleni madarasani. Shule zitawasapoti kiasi
 
Mahesabu ya serikali ni sh. 180 ya chakula kwa siku.
 
Hongereni kwa moyo wa kizalendo§ uvumilivu ,cha msingi endeleeni kufatilia ahadi aliyoitoa mkuu wa chuo kama wataweza toa pesa yote ya cku 48.
 
Mkuu wa wilaya ya Korogwe ametishia kuwafukuza chuo wanachuo wote waliokuwa wakiimba 'people's power' 'hatutaki siasa' na 'Tanzania nakupenda kwa moyo wote'mkuu wa wilaya alidai kuwa ametukanwa na wanachuo wakati alipowasili chuoni hapo,
 
natamani mwajiriwe leo hii ili mkawakomboa walimu wenzenu..Korogwe mmeonyesha njia ya ukombozi kwa walimu.
 
Back
Top Bottom