Bado hali ni ngumu chuo cha ualimu korogwe baada ya wanachuo kugoma kuchukua pesa za kujikimu kwa mafunzo ya vitendo yaani Btp hali hiyo imekuja baada ya kauli ya mkuu wa chuo kupisha kutoa taarifa zidhi ya ugawaji wa pesa ya Btp Hapo awali mkuu alieza kuwa btp ilitakiwa wanachuo wapo btp toka tarehe 23 mwezi tatu na kwamba wanachuo watapewa pesa zao Btp zote za siku 48 baadae wakuu wa idara ya btp wanakuja kutangaza kwamba btp inaanza tarehe 7 mwezi wa 3 mpaka tarehe 23 mwezi wa 4 na kupewa pesa za siku 23 kinyume naa taratibu za wizara paia inasadikika kuwa wizara ilitoa pesa za vifaa milion 58 lakini vifaa vilivyotolewa havifiki hata nusu ya pesa iliyo tolewa hali hiyo ilisababisha wanachuo kuandamana kutoka mabwenini kwao mpaka ofisi za chuo kupata ufafanuzi huku wakiimba nyimbo za ukombozi kama vipe people's power hata hivyo baada ya kufika chuoni mkuu alituhakikishia kupewa pesa zote za siku 48 tofauti na zile za siku 23 tulizoambiwa na wakuu wa btp tunaendelea kusubiri nitaupdate kila linajiri