mpiga vichwa
JF-Expert Member
- Oct 21, 2021
- 2,376
- 3,811
Siyo huyo tu Outarra naye katishia kusepa kama hatalipwa signing fee yake na kupangwa first 11.Wakuu Hali ni Tete Huko Umakoloni.
Habari za Chinichini Ni Kwamba Mwamba Inonga anataka Mzigo wake Wa signing fee iliyobaki.
Yuko Tayari asicheze Ila alipwe fedha yake na inasemekana wachezaji waliowengi Wamekopwa Sana Signing Fee.
Makolo walijifanya Siri Sasa Pambaneni na Hali zetu Sasa.
Tena hadharani.Bahati mbaya mpira unachezwa uwanjani
Irudishe ulikoitoa.Ilikotoka