Hali ni tete Huko umakoloni

Hali ni tete Huko umakoloni

Wakuu Hali ni Tete Huko Umakoloni.

Habari za Chinichini Ni Kwamba Mwamba Inonga anataka Mzigo wake Wa signing fee iliyobaki.

Yuko Tayari asicheze Ila alipwe fedha yake na inasemekana wachezaji waliowengi Wamekopwa Sana Signing Fee.

Makolo walijifanya Siri Sasa Pambaneni na Hali zetu Sasa.
Siyo huyo tu Outarra naye katishia kusepa kama hatalipwa signing fee yake na kupangwa first 11.

Hawa pia wanadai signing fees zao Okwa, Okra, moses phiri. Kwa sasa wako wako tu muda si mrefu wataliamsha
 
Hawa jamaa wao walisuke tu mechi ya watani wachomeshe mpaka magoli wiki

Akili zitawakaaaa
 
Back
Top Bottom