kibaya-kenya
JF-Expert Member
- Apr 2, 2012
- 649
- 165
sure mkuu na nimemsikia pia akisema kuwa kutajengwa mtambo wa kufua umeme wa megawatt 400 ambao kwa ajili ya mikoa yote ya kusini ya lindi, mtwara na ruvuma
Nimehabarishwa jengo la CCM Wilaya ya Mtwara linateketezwa kwa moto.
kwa nini sasa jengo la ccm lichomwe moto? hawa watu wana malengo gani?
Wadau,niko maeneo ya magomeni mtwara muda huu polisi wanarusha mabomu na risasi kila pembe,ni mtafaruku huduma zote zimesitishwa,wananchi wanataka kujua hatma ya gesi kusafirishwa kwenda Dar.Hali si shwari kabisa na ikumbukwe huu ni muendelezo wa tukio kama hili siku ya ijumaa iliyopita!
sithubutu kutoka nje ndugu ... hayo mabomu nnayosikia ni noma
hahahaha Yaya Toure me ndo kinara wa ban,nahisi ndo KIRANJA
tumia akili,kwani mtwara mpo watu m 30?
unadhani bunduki moja ya askari ina replace raia wangapi wenye mawe?MTU UMEJIFUNGIA NDANI HALAFU UNAPIGA KELELE ETI,HAITOKI,!Hizo c ndizo kelele zenyewe za chura?
wahenga washasema mtoto akililia wembe...?.mkuu elungata, najua wewe haupo huko mtwara ndo unaamua kuchochea hayo. me siungi mkono kabisa vurugu za mtwara
superior weapons does count,usiwandanganye hao wana mtwara.ingekua namba inacount,taifa la israel wale waarabu washalifuta zamani sana.Tatizo lako hujawahi hata kwenda jeshi, jitahidi uende JKT. Na kama we ni askari basi ndo wale askari wa kuokota au kupelekwa na mkubwa fulani , hujui mbinu za vita wala chochote Hujui kuwa hao wa mjini asili yao ni vijini? piga picha kama hao askari hapo mjini pekee wanachemsha , sasa fanya kila kijiji na kila mji kanda yote ya kusini wafanye fujo na mdugu zao wa mikoa mingine wawaunge mkono hapo kuna nini? Dogo nenda hata kajifunze mgambo labda utajua lisasi thelathini zikiisha baada ya kuua watu thelathini na watu wengimne mia tano wanakufuata utafanya nini? Acha ubishi wa kitoto.Kombeo inazidi bunduki na watu kuni wenye kombeo wakimlenga askari mmoja mwenye Bunduki ataitupa na kukimbia.
THE BIG SHOW upo salama,mbona husikiki!!
THE BIG SHOW atakuwa chini ya uvungu
Hao Waarabu unaowasema wako nje wa Israel, ogopa vita ya ndani kwa ndani. Hao askari watapata wapi mahitaji yao ya kila siku. Usijipe moyo na kuhamasisha hasira za watu bure.superior weapons does count,usiwandanganye hao wana mtwara.ingekua namba inacount,taifa la israel wale waarabu washalifuta zamani sana.
We endelea kuwapa moyo hao jamaa,hesabu kamili ya majeruhi,waliokufa kama wapo,waliowekwa nani utaipata taarifa ya saa mbili.