Hali ni tete Mtwara Leo, Sakata la Gesi

halafu hii serikali ya kimasihara itajikuta pabaya sana, ukizingatia tofauti kubwa kati ya magamba na walalahoi maisha ni magumu sana na kweli ni kama zoezi la kijeshi. Fikiria kwanza nchi za watu wanaweka wanajeshi tayari kwa lolote kwa kuwapa matizi mengi ili kuwakomaza wakati huku kwetu watoto washakomaa umri mdogo kisojasoja kinachohitajika ni mafunzo ya kijeshi tuu yaani namna ya kuvunja na kuunga bunduki na silaha nyingine kadhaa. Unafikiri? serikali inachezea shilingi chooni we sikilizia tu, alafu siku hizi mambo ya mtandao mtu yeyote anaweza kujipa somo jinsi ya kumwaga njugu au kutengeneza bomu ohoo. Ogopa bana haya sio masihara
 

Na zile serikali zilizoondolewa na wananchi ambazo sie wote ni mashahidi hazikuwa na vyombo hivi au vilikuwa likizo? Fungua macho yako kidogo!
 
Na zile serikali zilizoondolewa na wananchi ambazo sie wote ni mashahidi hazikuwa na vyombo hivi au vilikuwa likizo? Fungua macho yako kidogo!


kumbuka, hakuna sehemu wananchi wamefanya mapinduzi yakafanikiwa bila ya msaada toka mataifa ya nje.
 

zingatia kuwa tunajadili kuhusu gesi mtwara
 
hili ni zaidi ya suala la gesi. kuna jambo limejificha soon tutajua ukweli wake
 
tatizo la wana mtwara hawapendi kusikiliza na kuchambua
 
Kyela mwaka 2010 tuliingia barabarani kushangilia ujio wa meli mpya tena mm mwenyewe nikiongoza kuimba nyimbo za kumsif JK LKN hadi leo HATUJAIONA hiyo meli mpya!

CCM ni wasanii tu

Mkuu , mbona mna vituko namna hiyo. Mnashangilia ahadi?? Mngesubiri muione meli "live" ndo muingi barabarani kushangilia - ilikula kwenu mkuu. Poleni kwa maumivu.
 
gesi ya mtwara ni microcosm tu, unaweza ukachukua swala la uranium au loliondo na waarabu na mengineyo mengi tu, big ups to wanamtwara kusimama wima despite upepo unaotaka kuwalaza. Dar hakuna mtu anafanya chochote zaidi ya kutafuta hela zu kulewa kila kukicha. tufuate mfano wa wenzetu chinga boys and gals kujitoa muhanga kumake point ya kwamba kila kitu kina mwisho wake na huu ulaji lazima uishe sasa au hivi karibuni. mdingi wangu alitumikia hili taifa maisha yake yote katika capacity ya maana mwishowe alitoswa na alikufa akiwa maskini mbaya, fresh tuu angalau hakujinufaisha at walalahoi wenzake expense. mnafikiri tume nyingine ndiyo itatatua huu ujinga? tumefika mahala ambako inabidi panga pangua chagua uko pande gani alafu tuzirushe
 

kama ndio hivyo, sasa CCM wameishiwa mbinu, hii ni michezo ya kitoto mno.
 

Taifa la Israel linaendelea kuwepo kwa sababu linalindwa na mmarekani, vinginevyo lingekuwa na hali ngumu mno.
 
when the hunted knows how to hunt the hunter then there will be no more hunting game
 
Hahahahaha ndo kazi
iliyobakia kwa hawa polisi wetu,ila nadhani kuwalaumu pia sio sawa kwani
waliapa kuilinda katiba ya tanzania na pia kutii amri za wakuu,so wako
sawa kabisa nadhani sio sahihii kabisa kuwalaumu hawa watu

haswa. wao hutii amri kwanza maswali baadae
 
Tena latest newz ni kuwa nyumba za walimu na official zimetekezwa kwa motor NA polisi watatu dead the country is in big problem who to blame CCm. Sasa lazima mjue wana mtwara wana identity mbili ntwara n nsumbiji ss unategemea nn?
 
Taifa la Israel linaendelea kuwepo kwa sababu linalindwa na mmarekani, vinginevyo lingekuwa na hali ngumu mno.

Unacheza ww,hakuna mwny uwezo wa kulifuta taifa la israel,hyo ni kutoka kwa Mungu,ipo kwny maandiko
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…