Hali ninayokutana nayo katika Biashara inatisha nimefunga biashara 3 nimebakiza moja inayopumulia mipira, Msaada wa kiroho unahitajika

Wewe kama unataka kupotea nenda kwa waganga! Ila suluhu yako ni kumtafuta Yesu nenda kanisani mpokee Yesu kuwa Bwana na mwokozi wako! Vyitu vyako vyote vitarudishwa! Wewe umerogwa na wachawi na hivyo vyitu vimechukuliwa kichawi mchawi babake yake ni shetani, alafu tena unaenda kwa mganga ambaye baba yake ni shetani! Kitakachofuata hapo ni kupewa masharti na hata kama biashara yako itarudi hutaifurahia lakini pia utakuwa umeyauza maishq yako kwa shetani, meaningi baada ya maisha haya ya duniani moto wa jehannum unakuhusu mpendwa! Maana duniani hakuna cha bure! Unawakataa walokole lakini hao ndio wenye njia ya kweli ya uzima wako mwili na roho( ninaposema walokole sio akina mwaposa, kuhani musa nk wanaotumia mafuta na vitambaa na maji) hao ni matapeli tafuta kanisa lolote la kiroho usiangalie wingi wa watu! Hata kama kanisa lina watu 10 ingia hapo onana na mchungaji atakufanyia maombi bure na biashara zako zitarudi acha kuangaika mpendwa!
 
Huko kanisani siku hizi ni pabaya zaidi. Akifika tu ataambiwa hatoagi fungu la kumi na kueletewa habari za michango ya kanisa. Hajakaa vizuri ataambiwa atoe sadaka ya ukombozi. Ninamshauri apigane kivyake amwombe Mungu kimyakimya.
 
0765309523
namba ya huyo mtaalam ni hio
naona PM inajaa mafuriko
Yuko Nyamhongolo Jijini Mwanz
 
Unasema hauamini katika masuala ya dini lakini nakusisitiza hakika yanasaidia bila masharti yoyote yale


Muhimu ni kuwa kama ulipata mali kwa halali bila dhulma wala kumuibia mtu zitabaki


Kwenda kwa waganga unajitengenezea mazingira ambayo yatazidi kukuongezea vifungo visivyo na mwisho ni bora uokoke wewe na familia yako

Mrudieni Mungu kisha kwa imani moja salini sana hakika Mwangaza mtauona
 
Piga nyungu kamanda ukirudi mpya kila mtu ana kuchangamkia 😄
Mkuu inanibidi tu hamna namna
kinachonikuta kwenye kutafuta maokoto ni kitu kibaua sana

nisipochangamka ntafilisika.

nikifeli hapa naenda katoro

Bahati nzuri hizi connection napewa na ndugu ambao wameshapita huko
 
Mkuu inanibidi tu hamna namna
kinachonikuta kwenye kutafuta maokoto ni kitu kibaua sana

nisipochangamka ntafilisika.

nikifeli hapa naenda katoro

Bahati nzuri hizi connection napewa na ndugu ambao wameshapita huko
Jamaa uhakika sio 😄
 
Umemaliza kila kitu,...nina uzoefu na biashara, licha ya kuwa kuna changamoto zingine hazieleki kikawaida, lakini msingi wa tatizo upo kama ulivyonena
 
Unahitaji suluhisho la kiroho Ili kutatua hilo, amini hili.

Angalia kulingana na Imani yako ya kidini kipi unaweza kufanya, ila huwa unakumbuka kutoa Sadaka kwa faida unazopata kwenye biashara zako?
 
Pole sana, unachokiota ndio sahihi ulichotendewa na wanga.....
 
Nakupa Connection ya pili.

Save hii namba: 0759953006
huyu anaitwa Mzee Bahati.
ni mzee wa makamo tu under 60

Location: Katoro

Gharama yake: 100,000/= minimum

anapiga ramli kwa kuchinja kuku

(hapa unaweza nunua kuku hadi wanne, maana akishatibu lazima achinje tena kuangalia kama mambo yamekaa sawa)

Connection nilipewa na ndugu yangu ambaye ni mfanyabiashara wa mazao, pia huenda kuchukua dawa za Kulimia/kupata mazao mengi/kulinda shamba.
 
Wewe si Wa Kwanza Kutokewa na Hayo na Wala Hatakuwa wa Mwisho Kwa Hayo Kukutokea
 
Ha ha ha dawa za kulimia kupata mazao mengi? Huyo ni bwana shamba au mganga?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…