Hali ninayokutana nayo katika Biashara inatisha nimefunga biashara 3 nimebakiza moja inayopumulia mipira, Msaada wa kiroho unahitajika

Na hapo ndio utajua kama una mke au lah! We ngoja tu asipokuacha kipindi hiki basi jua una mke.
 
Mwagia mafuta ya Mwamposa kama unaamini

Omba sana Mungu
Jua jaribu lako lina mlango wa kutokea
Kazi kwako kutafuta mlango
Amini Mungu ni Mkuu na mkubwa kuliko tatizo lako
Hivyo anaweza kulimaliza

Umepewa jina la Yesu
Litumie kadiri uwezavyo
 
 
 
Katika yote isifike tu hatua ukauza nyumba, kwa vyovyote vile. Ukifanya hivyo ndo itakua tiket ya moja kwa moja kurudi sifuri
 
Mkuu naona umekuja na makasiriko, sikutukani wala sikucheki ila 100 hapati 1, bado najikongoja kiasi sio kama nimefirisika kama umavyodhani ww
 
Mtumishi mbona unapanic sana ndivyo mnavyofundishwa huko kwa kwa Apostle wenu Mwamposa???
 
Mkuu naona umekuja na makasiriko, sikutukani wala sikucheki ila 100 hapati 1, bado najikongoja kiasi sio kama nimefirisika kama umavyodhani ww
Ndugu nisamehe ikiwa labda umenielewa vibaya ,basi sawa usinitafute maana hata roho wa Mungu niliyekuwa naye ameondoka muda ule maana nilikusubiri Sana kaka
Ila relax kila kitu kitakuwa sawa ,nisamehe bwana
 
Ndugu nisamehe ikiwa labda umenielewa vibaya ,basi sawa usinitafute maana hata roho wa Mungu niliyekuwa naye ameondoka muda ule maana nilikusubiri Sana kaka
Ila relax kila kitu kitakuwa sawa ,nisamehe bwana
Relax kijana nimewapa vijna wengi sana code katika ule uzi nikupe pole kama sikubahatika kukupa au kukujibu maana Pm ni nyingi hadi sasa nakutana nazo mpya na za member wapya ambao wanajiunga Jf.

Changamoto na nilichobaini ni kwamba vijana wengi wanapenda michongo ya kukaa ofsini au kufanya kibishoo zaidi, kwani wengi niliowapa code hakuna akiewahi kuniambia kama amejaribu kufanya wengi wao niliwapa code na kila kitu ila hakuna aliejaribu kuingia front na kunipa mrejesho kuwa anafanya, hivyo ilinikatisha tamaa kias maana niliacha hata kuwajibu wengine.

Nikitoa screenshoot hapa nilizochat na wadau utasoma hadi uchoke mkuu... ila hakuna cha maana wala aliefanya maamzi. Wengi wakiskia mchongo umekaa kiume walipita kushoto
 
Pole sana mkuu Kwa unayopitia. Matatizo Yako yatatatuliwa na mganga mwenye hofu ya MUNGU mwenye maadili ya kiganga, mtafute.

Usidanganywe na watu humu sijui Nini na nini mkuu...

Ndoto ya kuota kuwa upo kijijini kwenu ni ishara kuwa unatakiwa urudi kijijini kwenu ukafanye mambo ya Mila.

Ndoto ya kuota upo shule ya Msingi Kwa kuanzia ni ishara kuwa umefungwa kifungo kukurudisha nyuma kimaendeleo.

Pia ujue si Kila ndoto ya kurudi darasani ni ndoto mbaya, kuna zingine ni ndoto zenye maana nzuri.
 
Matajiri wote duniani wanafanya biashara ya real estate kwa nn uliamua kujenga nyumba mbili za kukaa badala ya kujenga moja na nyingine ya kupangisha.
 
Kweli inakatisha tamaa ,Sasa nimekuelewa mzee ,ila pamoja Sana
 
Ndoto ya kupakwa kinyesi maana yake umelogwa. Omba sana. Kuna mahali au mtu aliona mafanikio yako kafanya jambo. Au wewe mwenyewe kuna kitu ulifanya. Back track ujue ni nini lakin pia Muombe Mungu
Njoo Singida kuna waganga wanaoua wateja na kuwafukia. Watakusaidia kuondokana na fedheha hio .

AMINI MUNGU
Hata huko kwa mitume wenu na manabii vifo vipo, kuna watu wanakufa wakigombania kukanyaga mfuta mbona hamsemi? Kufa katika harakati ya kutafta tiba ni vitu vya kawaida kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…