Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mimi naota mazabibu yamestawiiii makubwa kama ma apple ndio nini hiyo?Hiyo ndoto ya kuota upo shule unafanya mtihani mbaya sana ,ikikutokea ujue kama umepigwa handbrake kila kitu ukifanya kinateleza ilishanitokeaga hiyo, tena inajirudia rudia
Na hapo ndio utajua kama una mke au lah! We ngoja tu asipokuacha kipindi hiki basi jua una mke.Habari Wakuu, Maelezo mengi yatawachosha.
Nilianza Biashara 2019, ya umachinga nikawa nachukua bidhaa mjini napeleka vijijini, Biashara ilikubali nilikuwa napiga profit nzuri sana kwa siku, Biashara yangu haikuwa na ushindani wala haikuwa ya kufikirisha kama kuna faida napata, Ila nilikuwa na uwezo wa kutengeneza faida ya Laki moja hadi 3 kwa siku,
Nikaendelea na Biashara hii kwa muda wa mwaka mmoja nikaamua kununua kiwanja na kujenga nyumba yangu wa kwanza ya kuanzia maisha, nikahamia, nikaendelea kukomaa nikajenga nyumba ya pili ya ndoto zangu...
Kwa bahati nzuri location niliyojenga kwa mbele kuna barabara nikaona sio mbaya nikajiongeze nikajenga Viflemu vya biashara nikapata na wapangaji nikaanza kupokea vikodi. Kiukweli nilianza kuona natimiza ndoto kimasihara sana.
Mwaka juzi nikapambana nikapata kigari nikanunua na baadae nikawaza biashara ya Umachinga sio Biashara ya kudumu, Hivyo nikaona nijiwekeze nikaona ni bora nifungue vitega uchumi vingine ili nitanue biashara..
Nikaamua kufungua Duka la kwanza katika moja ya flem zangu, Mwanzoni biashara ilienda vzuri hadi nikawa najiuliza nilikuwa nachelewa nini.
Baadae nikaona shemeji yenu nae anafaa apate biashara yake ili asinitegemee na yeye nikatafuta location nikamfungulia Cafe ya kuuza misosi napo biashara ikatiki nikaongeza kipato zaidi nikazidi kuinjoy..
Nikaona niongeze ofisi ya tatu, Nikafungua Duka la spea za pikipiki eneo baada ya kuona location inafaa, Biashara zikazidi kupamba moto.
Cha ajabu na cha kushangaza ni ndani ya muda mfupi biashara zote zimesimama hakuna mteja anakuja dukani kwangu, watu wanapita tu na kwenda kununua bidhaa kwingine, cha kusikitisha ni kwamba upepo umenata ofisi zote, Pale kwa wife vyakula vinapikwa vinatupwa, Dukani panya wanashambulia vitu bila huruma, na hakuna mteja, Duka la spea hakuna wateja na mafundi wamehama sina fundi wala bidhaa haziuziki.
Nimeamua kufunga biashara zote maana naona ni hasara tupu, Kwanza nilianza na Mgahawa wa wife, likafuata Duka na hivi juzi nimemalizia kufunga Duka la spea.
Nimeamua kurudia biashara yangu ya awali ya Umachinga ambayo ndio ilinipa msingi.. cha ajabu nayo saizi wateja wangu wanataka kunikopa tu hamna la maana. Natoka nazunguka narudi nyumbani na pesa ya kula tu hamna cha maana.
Cha ajabu hata usiku nikilala naota ndoto za kutisha kama nipo kwetu kijijini, tena saa zingine naota nipo shule ya msingi nasoma na mara zingine naota nimepakazwa kinyesi mwili mzima. Jamani wakuu tusaidiane hapa najinasua vipi.
Kwa upande wangu napendelea kujinasua katika hiki kifungo kupitia wataalam wa jadi ndipo imani yangu inanituma japo sijui ni wapi nitaanzia wala ni wapi nitaishia.
Siwiwi na walokole kuponya tatzo langu, kama yupo ambae alishawahi kukutwa na janga kama hili na akachomoka na kurudi katika hali yake ya kawaida anisaidie Pm Iko wazi jamani. Ndugu tusaidianane, Napitia fedheha kubwa sana, Nimejaribu kushirikisha akili yangu ila imefika ukomo.
Napewa namba za wataalamu wengi ila ukimpigia katika maongezi pyschologically nawastukia ni wapigaji wengi wao wanajisifia ila ukipima maongezi yake unaona kama hayana uhalisia.. Na mwisho wanataka kutumiwa pesa ili wanisaidie.
Mwagia mafuta ya Mwamposa kama unaaminiHabari Wakuu, Maelezo mengi yatawachosha.

Yani izo ndoto za kurudi kijijini na mashuleni zote zinaashiria umetupiwa roho ya kurudishwa nyuma ndo mana hamna jambo linaloenda mbele
Na kutoka kwenye Ivo vifungo ni kupitia maombi coz uko kwa waganga unaenda kupotea mazima.
Kuna Uzi umu ndani umezungumzia vizuri maswala ya kiroho ukiufatilia itakusaidia sana.
Uzi wenyewe unaitwa
Jifunze silaha kuu tano (5) za ulimwengu wa kiroho ili upate ushindi kwenye kila jambo
Habari Wakuu, Maelezo mengi yatawachosha.
Nilianza Biashara 2019, ya umachinga nikawa nachukua bidhaa mjini napeleka vijijini, Biashara ilikubali nilikuwa napiga profit nzuri sana kwa siku, Biashara yangu haikuwa na ushindani wala haikuwa ya kufikirisha kama kuna faida napata, Ila nilikuwa na uwezo wa kutengeneza faida ya Laki moja hadi 3 kwa siku,
Nikaendelea na Biashara hii kwa muda wa mwaka mmoja nikaamua kununua kiwanja na kujenga nyumba yangu wa kwanza ya kuanzia maisha, nikahamia, nikaendelea kukomaa nikajenga nyumba ya pili ya ndoto zangu...
Kwa bahati nzuri location niliyojenga kwa mbele kuna barabara nikaona sio mbaya nikajiongeze nikajenga Viflemu vya biashara nikapata na wapangaji nikaanza kupokea vikodi. Kiukweli nilianza kuona natimiza ndoto kimasihara sana.
Mwaka juzi nikapambana nikapata kigari nikanunua na baadae nikawaza biashara ya Umachinga sio Biashara ya kudumu, Hivyo nikaona nijiwekeze nikaona ni bora nifungue vitega uchumi vingine ili nitanue biashara..
Nikaamua kufungua Duka la kwanza katika moja ya flem zangu, Mwanzoni biashara ilienda vzuri hadi nikawa najiuliza nilikuwa nachelewa nini.
Baadae nikaona shemeji yenu nae anafaa apate biashara yake ili asinitegemee na yeye nikatafuta location nikamfungulia Cafe ya kuuza misosi napo biashara ikatiki nikaongeza kipato zaidi nikazidi kuinjoy..
Nikaona niongeze ofisi ya tatu, Nikafungua Duka la spea za pikipiki eneo baada ya kuona location inafaa, Biashara zikazidi kupamba moto.
Cha ajabu na cha kushangaza ni ndani ya muda mfupi biashara zote zimesimama hakuna mteja anakuja dukani kwangu, watu wanapita tu na kwenda kununua bidhaa kwingine, cha kusikitisha ni kwamba upepo umenata ofisi zote, Pale kwa wife vyakula vinapikwa vinatupwa, Dukani panya wanashambulia vitu bila huruma, na hakuna mteja, Duka la spea hakuna wateja na mafundi wamehama sina fundi wala bidhaa haziuziki.
Nimeamua kufunga biashara zote maana naona ni hasara tupu, Kwanza nilianza na Mgahawa wa wife, likafuata Duka na hivi juzi nimemalizia kufunga Duka la spea.
Nimeamua kurudia biashara yangu ya awali ya Umachinga ambayo ndio ilinipa msingi.. cha ajabu nayo saizi wateja wangu wanataka kunikopa tu hamna la maana. Natoka nazunguka narudi nyumbani na pesa ya kula tu hamna cha maana.
Cha ajabu hata usiku nikilala naota ndoto za kutisha kama nipo kwetu kijijini, tena saa zingine naota nipo shule ya msingi nasoma na mara zingine naota nimepakazwa kinyesi mwili mzima. Jamani wakuu tusaidiane hapa najinasua vipi.
Kwa upande wangu napendelea kujinasua katika hiki kifungo kupitia wataalam wa jadi ndipo imani yangu inanituma japo sijui ni wapi nitaanzia wala ni wapi nitaishia.
Siwiwi na walokole kuponya tatzo langu, kama yupo ambae alishawahi kukutwa na janga kama hili na akachomoka na kurudi katika hali yake ya kawaida anisaidie Pm Iko wazi jamani. Ndugu tusaidianane, Napitia fedheha kubwa sana, Nimejaribu kushirikisha akili yangu ila imefika ukomo.
Napewa namba za wataalamu wengi ila ukimpigia katika maongezi pyschologically nawastukia ni wapigaji wengi wao wanajisifia ila ukipima maongezi yake unaona kama hayana uhalisia.. Na mwisho wanataka kutumiwa pesa ili wanisaidie.
Mkuu naona umekuja na makasiriko, sikutukani wala sikucheki ila 100 hapati 1, bado najikongoja kiasi sio kama nimefirisika kama umavyodhani wwPole
Pole sana kwa hayo ,siku zile kwenye uzi wako watu wanakuuliza unafanya biashara gani na inaendaje ukawa unafichaficha Mara njoo PM nako ukawa haujibu ,basi karma imekurudisha kwetu na sisi bila hiyana tunakupa pole na kukupokea kwa mikono miwili kama mfirisika .
Sasa kwakuwa tumekusamehe bure maana haukujua dunia duara ,natumia wasaa huu kukuomba ikiwa unamuamini Mungu basi niko tayari kukuombea na ukawa sawa tena kwa kufanya vipi ,nahitaji niandike maneno ya uponyaji hapa ambavyo utayasoma Mara kumi na hakika hautakuwa mfirisika tena kuanzia pale utakopohitimisha usomaji wa maneno hayo .
Je uko tayari mfirisika ? Ikiwa upo tayari nijibu
Mtumishi mbona unapanic sana ndivyo mnavyofundishwa huko kwa kwa Apostle wenu Mwamposa???Wewe ni mbishi Endelea na mambo yako usitusumbue Wala kujaza sever za JF[emoji56]
Siku zoteee mwomba msaada ni msikivu na atapokea kila ushauri na kuuchuja kupata ushauri mzur sanaa wenye kumsaidia Inashangaza Sana kuona mtu anapewa ushauri then anaanza kaubishani flani
Ndugu nisamehe ikiwa labda umenielewa vibaya ,basi sawa usinitafute maana hata roho wa Mungu niliyekuwa naye ameondoka muda ule maana nilikusubiri Sana kakaMkuu naona umekuja na makasiriko, sikutukani wala sikucheki ila 100 hapati 1, bado najikongoja kiasi sio kama nimefirisika kama umavyodhani ww
Relax kijana nimewapa vijna wengi sana code katika ule uzi nikupe pole kama sikubahatika kukupa au kukujibu maana Pm ni nyingi hadi sasa nakutana nazo mpya na za member wapya ambao wanajiunga Jf.Ndugu nisamehe ikiwa labda umenielewa vibaya ,basi sawa usinitafute maana hata roho wa Mungu niliyekuwa naye ameondoka muda ule maana nilikusubiri Sana kaka
Ila relax kila kitu kitakuwa sawa ,nisamehe bwana
Kipi hujaelewa hapo kwenye post yanguBiashara gani? ulikua unafanya..
Gari scania engine ya FUSO (Isuzu) tutafika TU.Mtumishi mbona unapanic sana ndivyo mnavyofundishwa huko kwa kwa Apostle wenu Mwamposa???
Kweli inakatisha tamaa ,Sasa nimekuelewa mzee ,ila pamoja SanaRelax kijana nimewapa vijna wengi sana code katika ule uzi nikupe pole kama sikubahatika kukupa au kukujibu maana Pm ni nyingi hadi sasa nakutana nazo mpya na za member wapya ambao wanajiunga Jf.
Changamoto na nilichobaini ni kwamba vijana wengi wanapenda michongo ya kukaa ofsini au kufanya kibishoo zaidi, kwani wengi niliowapa code hakuna akiewahi kuniambia kama amejaribu kufanya wengi wao niliwapa code na kila kitu ila hakuna aliejaribu kuingia front na kunipa mrejesho kuwa anafanya, hivyo ilinikatisha tamaa kias maana niliacha hata kuwajibu wengine.
Nikitoa screenshoot hapa nilizochat na wadau utasoma hadi uchoke mkuu... ila hakuna cha maana wala aliefanya maamzi. Wengi wakiskia mchongo umekaa kiume walipita kushoto
Ndo ivoKweli inakatisha tamaa ,Sasa nimekuelewa mzee ,ila pamoja Sana
Ndoto ya kupakwa kinyesi maana yake umelogwa. Omba sana. Kuna mahali au mtu aliona mafanikio yako kafanya jambo. Au wewe mwenyewe kuna kitu ulifanya. Back track ujue ni nini lakin pia Muombe Mungu
Hata huko kwa mitume wenu na manabii vifo vipo, kuna watu wanakufa wakigombania kukanyaga mfuta mbona hamsemi? Kufa katika harakati ya kutafta tiba ni vitu vya kawaida kabisaNjoo Singida kuna waganga wanaoua wateja na kuwafukia. Watakusaidia kuondokana na fedheha hio .
AMINI MUNGU