Objective football
JF-Expert Member
- Oct 21, 2023
- 1,195
- 2,771
- Thread starter
- #241
so sad saiz account zinasumbua kufunguka ngoja tuone usikusana till keshoHaya wale wa final results View attachment 2801644
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
so sad saiz account zinasumbua kufunguka ngoja tuone usikusana till keshoHaya wale wa final results View attachment 2801644
Ndiyo mkuu.wewe ndie ulipata SIPA ambayo haina kitu before?? now ndio wamekuwelkea?
pamoja chiefNdiyo mkuu.
Hope watapangiwa kuanzia leo maana walisema awamu yao inakuja baada ya kumalizana na first year ambao zoezi la allocation huwa ni gumu tofauti na continueos.Vipi kuhusu continuous mbona board haiwazungumzii kabisa
Niliona tamko lao wamesema wamewapa mkopo wanafunzi wa Mwaka wa kwanza idadi yao ni 2158 kwa hii batch ya 3 sijaona sehemu waliosema Kati yao watakuwa continuous.Kama hivyo uliosema ni vizuri wakasema ni lini wanafanya hivyoHope watapangiwa kuanzia leo maana walisema awamu yao inakuja baada ya kumalizana na first year ambao zoezi la allocation huwa ni gumu tofauti na continueos.
Kuna bajeti ya bilioni 731 mwaka huu wa masomo hadi sasa kiasi kilichotumika kwa first year ni kama 200 bilioni kwahiyo kuna zaidi ya 500 bilioni kwa ajili ya continueos, diploma pamoja na postgraduates.
mwanangu sio mimiUpo chuo gn
Ipunguze size angalau iwe 200kb kuja chini inakubali.Wakuu nisaidien kwa hili
najaribu kuappeal hp kuomba niongezew mkopo, Ila tatzo ni kila nikiupload picha yng ambayo niliiscan kwa app ya camscanner hpo awali then nikaiconvert online kuwa jpg kila nikiupload inakataa .
.je shida iko wapi
Ukitaka kuangalia umepata unaangalia wapi?Continous tiyari wametoa View attachment 2810887
Nenda kwenye appeal alaf nenda kwenye sipaUkitaka kuangalia umepata unaangalia wapi?