Daaaa hawa jamaaa na degree zao za maua mara mapishi kazi kweli ukiwakuta daaaa wamechoka kama vibabu vya kijijini vinavyoshindia ulanzi na komoni.hawa jamaa wa sua very rigid and conservative wacha wachapwe tu.mtoa maada ametupa trend of fighting sio source nhisi mazalau yao na umama lishe wao ndo chanzo tena ukiwakuta pale kivulin bar daaaaaaaaa utafikiri wanasubiri usafiri wa loli kumbe wanakunywa bia