Hali si shwari kihonda maghorofani

Hali si shwari kihonda maghorofani

Daaaa hawa jamaaa na degree zao za maua mara mapishi kazi kweli ukiwakuta daaaa wamechoka kama vibabu vya kijijini vinavyoshindia ulanzi na komoni.hawa jamaa wa sua very rigid and conservative wacha wachapwe tu.mtoa maada ametupa trend of fighting sio source nhisi mazalau yao na umama lishe wao ndo chanzo tena ukiwakuta pale kivulin bar daaaaaaaaa utafikiri wanasubiri usafiri wa loli kumbe wanakunywa bia

Ugomvi hauna uhusiano na elimu.. acha kuwaponda.Wewe una digrii ipi?? kwan chuo cha SUA kimeanzishwa ili wasome wanyama au binadamu??
 
Back
Top Bottom