demigod
JF-Expert Member
- Jan 2, 2015
- 8,292
- 15,250
Kuna mpasuko mkubwa uliopo ndani ya simba hivi sasa. Kuna bomu kubwa sana linakuja kulipuka muda sio mrefu. Hiyo yote ni kwa ajili ya Boss kuuza wachezaji wawili na mpunga bado haujasomeka katika account ya klabu.
Wapo viongozi wenye hofu na wasiwasi kubwa sana juu ya biashara ya usajili ya msimu huu. Pia ndani humo humo wapo viongozi wanapingana mazima na uendeshaji wa klabu.
Ikumbukwe kuwa tangu Mo atangaze kuwa ameweka mpunga wa Bilioni 10, Akaunti ya klabu bado inasoma zero balance.