NAWATAFUNA
JF-Expert Member
- Nov 14, 2019
- 13,284
- 24,047
Sisi mashabiki tushabariki Mo achukue pesa zote,tena kama vipi ofisi za club ahamishie kwake kabisa,haya ilo tumemaliza zusheni lingine basi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Chanjo zimeanza kufanya kwa kwa wana utopolo...uzi wa hovyo kabisaKuna mpasuko mkubwa uliopo ndani ya simba hivi sasa. Kuna bomu kubwa sana linakuja kulipuka muda sio mrefu. Hiyo yote ni kwa ajili ya Boss kuuza wachezaji wawili na mpunga bado haujasomeka katika account ya klabu.
Wapo viongozi wenye hofu na wasiwasi kubwa sana juu ya biashara ya usajili ya msimu huu. Pia ndani humo humo wapo viongozi wanapingana mazima na uendeshaji wa klabu.
Ikumbukwe kuwa tangu Mo atangaze kuwa ameweka mpunga wa Bilioni 10, Akaunti ya klabu bado inasoma zero balance.
Mkuu ww ni utopolo. Rudi kasome na ujue kufanya dadisi za maana. Mpunga unawekwa kwenye account ipi..?Kuna mpasuko mkubwa uliopo ndani ya simba hivi sasa. Kuna bomu kubwa sana linakuja kulipuka muda sio mrefu. Hiyo yote ni kwa ajili ya Boss kuuza wachezaji wawili na mpunga bado haujasomeka katika account ya klabu.
Wapo viongozi wenye hofu na wasiwasi kubwa sana juu ya biashara ya usajili ya msimu huu. Pia ndani humo humo wapo viongozi wanapingana mazima na uendeshaji wa klabu.
Ikumbukwe kuwa tangu Mo atangaze kuwa ameweka mpunga wa Bilioni 10, Akaunti ya klabu bado inasoma zero balance.
Mkuu misri bado hawaja fungua dirisha la usajili. Inabidi wafiche ili kuendana na ratiba za ligi yao kule misriHalafu mixson tuliambiwa anaenda al haly, leo eti haijulikan anaenda timu gani
Kama ni hivyo kwanini CAF itangaze mwisho wa kuwasilisha majina ya wachezaji iwe tarehe 15 August?Mkuu misri bado hawaja fungua dirisha la usajili. Inabidi wafiche ili kuendana na ratiba za ligi yao kule misri
Wao siwameambiwa watumie muongozo wa mwaka uliopita vipi.??Kama ni hivyo kwanini CAF itangaze mwisho wa kuwasilisha majina ya wachezaji iwe tarehe 15 August?
Na kama watamtumia hatuwezi kuwapangia watu wa taasisi yao. Mipango na maamuzi ni yao ww ni mpokeaji wa kile unachokiona.Kama ni hivyo kwanini CAF itangaze mwisho wa kuwasilisha majina ya wachezaji iwe tarehe 15 August?
Gonga Like Kwa Hii Comment Fupi Halafu Chachu Kama Ukwaju Yaani Mate 😀😁😂🤣😃😄😅😄😃🤣😂😁😀🤣😃😄Mihela Sisi hatuna haja nayo , tulishamwambia MO abaki nayo tunachohitaji ni MAKOMBE TU ...! Sababu tunajua hicho ndicho mmekikosa Kwa Miaka 4 sasa na hakuna dalili Ya kuyapata MAKOMBE labda...labda....LABDA la MAPINDUZI...!
Tanzania sasa inakabiliwa na kizazi kinachopenda umbea, hira, unafiki na umasikini wa tumbo na mawazo. Kuleta uharo wako kama unachefeu watu bora ungeupeleka kwa bibi yako aliekurithisha uchawiKuna mpasuko mkubwa uliopo ndani ya simba hivi sasa. Kuna bomu kubwa sana linakuja kulipuka muda sio mrefu. Hiyo yote ni kwa ajili ya Boss kuuza wachezaji wawili na mpunga bado haujasomeka katika account ya klabu.
Wapo viongozi wenye hofu na wasiwasi kubwa sana juu ya biashara ya usajili ya msimu huu. Pia ndani humo humo wapo viongozi wanapingana mazima na uendeshaji wa klabu.
Ikumbukwe kuwa tangu Mo atangaze kuwa ameweka mpunga wa Bilioni 10, Akaunti ya klabu bado inasoma zero balance.
Kabisa mkuu kama huo.ujanja ujanja co utapeli acha uendelee maana kazi imeonekana. Acha tusibishane na lowest team.kam utoHuo unaoitwa ujanjaujanja na wizi wa mo dewji kama ndiyo umesababisha tuwe wa 12 kwa ubora afrika basi naomba wizi huo uendeleee milele
I'm also out of this conferenceKwani who paid signing fees ? Manara ? I'm out of this conference