Hali si shwari Msimbazi!

Ngao ya Hisani anacheza Simba A na Simba B

Maana tunamakombe yote Uto tushawabeba kimataifa kaeni kwa kutulia
 
Small mind
Manyani yenye big brain yamechachamaa kunyonya rombo ya mnyama,kila linyani linataka ndio liwe la kwanza kunyonya rombo!!nyie jipangeni vizuri rombo ya mnyama iko vizuri msigombane kila mtu atanyonya rombo..acha waanze nyani wa fm radio,watafata nyani wa kwenye insta,wakitoka wa insta watafata wa magazeti,wakitoka wa magazeti watafata nyani wa humu jf,chuma kiko imara kila mtu atanyonya.
 
Small mind with empty brain
 
Hali ni shwari kabisa hapa Msimbazi. Tupo zetu mitaa ya msimbazi hapa na vitoto vya kihindi tunakunywa Gahawa na kashata.
 
Msingi wa hoja yako upo wapi?

No mercy under capitalism
Uliwai kusikia mfanyabiashara gani anawekeza kwa hasara?

Wewe unamapenzi na simba wenzio wapo kimasilah unategemea mtaendana kimtazamo na utendaji?
Hata kama ni hivo lakin kumbuka hakuna uwekezaji unaozaa faida kwa miaka 4 .Tuwe wavumilivu Simba itaanza kupata faida ikipota miaka kumi.sasa tatizo linakuja watu vitu vya kiuchumi wanaleta masihara.Vip Uliona wapi unaanzisha biashara siku hiyohiyo unapata faida?kwa mawazo yangu Bora tungekua tunatoa ushauli nini kifanyike kwa vilabu vyetu ili vikue kiuchumi manake timu ikiwa vizuri kiuchumi automatically itafanya vizuri uwanjani.Sorry kama umeuzika
 
MASWALI MATANO MUHIMU KWA WANASIMBA WENZANGU

Wadau poleni Sana maana naona mmeamua kujiumiza mioyo..

1. Hivi kwann tunapenda kucheza Muziki wa Utopolo??
2. Hivi mnadhani sisi mashabiki tulio mitandaoni tuna uchungu saaana na Timu kuliko kamati ya Usajiri, bodi ya Wakurugenzi, Mangungu au Mo mwenyewe??
3. Hivi ndugu zangu nyie, siku analetwa Chama, Bwalya, Onyango, Mugalu mlikuwa mnawajua??? Au ndio mlihusika kusema waletwe??
4. Hivi Mnajua madhara ya kumkatalia mchezaji kwenda kwenye ofa nono aliyoipata??
5. Nani aliyewaambia bila Chama na Luis Simba haiwezi??
Aliondoka Okwi, Kotei na Kocha Bora kabisa Pierre Lechantre.. Leo mnalalama kwa Hawa??
Mliwahi kumuona Samatta akiwa Simba?? Aliondoka yeye na Patrick Ochan..
Binafsi nawaza saana Kama ningekuwa Mo pocbly ningechukua maamuz magumu saana kwa niyasomayo mitandaoni..
Hakuna kitu Utopolo watafurahia Kama siku Mo akichoshwa na kelele za wanafiki wachache wa Simba wasio Italia mema Simba.
Nawaza Sana kuwa tunashangilia Lakini hatufatilii masuala ya Soka Duniani..
Mnafahamu kuwa David Becham aliondoka Man U akiwa Mtamu??
Mliwahi kufuatilia Siku CR 7 Anavyoondoka Man U??
Ameondoka Meci pale Barca, mnitajie Ni Nani Kama Meci hapo Simba.
Okwi, Kaseja waliondoka Tena kwenda kwa mahasimu wetu..
Lkn Simba ilikuwepo na ikaimarika zaidi..
Simba tumebahatika mno kupata watu wa Soka ktk uongozi lkn tumekuwa hatuwaheshimu...
Hawa Jamaa kina Magori na Hans Poppe wanajua mno....
Eti sisi vile tu tuna bando tunajiona TUNAJUA.
Mliwahi sikia juu ya mbinu wakizozifanya mpaka Luis akasaini kwetu???
Tuna kila Aina ya mchezaji lkn hatuoni Hilo..
Nawaambieni tu Chikwende, Kagere, HD, Miraji, Ajibu na Ndemla hawakuwa na namba ya uhakika Simba, lkn Hawa woteee wangekuwa Utopolo au Azam Hakuna wa kuwaweka Benchi..na wangekuwa fest Eleven wa kudumu kule...
Wenzetu UTOPOLO wanajua kuwatukuza na kuwashukuru mno Viongozi wao...
Wanaletewa Wachezaji wa Kawaida na wa viwango vya chini lkn wanawatia Moyo Wachezaji wao mpaka wanaonekana wakubwa..
Sisi tumekalia majungu, Uzushi na kumsimanga Tajiri wetu..
Gadem shiiit....
Mo nae Ana Moyo, nae Ni binadamu..

IPO Siku atachoka ndio tutajuta..
Mo Yule mbali ya Utajiri wake lkn Ni shabiki mwenzetu Tena lialia..

Tumepata Dancun Monster Nyoni mchezaji wa Kiwango Cha juu mno, tunae MTU kutoka Mali na huko Senegal Ni watu haswa lkn tupo na msononeko tu.
Tukumbuke sisi Mchango wetu Mkubwa ktk timu Ni HAMASA, tujifunze kuheshimu Viongozi, naamini ktk wakati huu wa Vita vya usajiri Viongozi hawalali wanatutengeneza kilicho Bora zaidi. Lkn sisi badala ya kuwapa Kongole tumebaki tu. Tunalalama...
Sijui tupoje???
Tuwe na Imani, tuwaunge Mkono walau kwa kukumbuka mema na ubunifu wao ktk majukumu yao.
Naomba saana ukipata wasaa unijibu hayo maswali matano sio lazima kwa Sauti au kwa kuandika, hata kimoyo Moyo tu itatosha.

Simba kwanza, MTU baadae!!
Wasaalaamu!!!
 
Sasa washabiki wa Simba walikuwa wanarudi kinyume nyume matako wazi kwa Moo unategemea Muhindi yule awafanyeje!!???
 
Zumbukuku ni mama yako aliokuzaa kupitia mlango wa nyuma kenge wewe?! Miaka minne mnalialia hata kikombe cha kahawa hamjawahi kubeba,mmepagawa mpaka waarabu wamewalipia muwapelekee hizo nyaa wakawabust
Sibishanagi na mataira kijana.
 
Simba iwe ya Mo au ya babra we don't give a shot, what we care for now is trophies

Mnafurahua kuitwa timu ya wananchi halafu income inaingia kwenye mifuko ya wengine, maramaake hao sasa ndo wenye timu na wamewaweza namna ya kuwa delude bila kujua kwasababu mostly ni wajinga

Na ndio maana hakuna aliyejitokeza kumuuliza hersi kuhusu ubingwa ambao mliahidiwa, namna pekee ya kuwatuliza ni kutumia waandishi masnitch wawe wanaizungumzia simba negatively ili kuwa keep busy huko msifikirie kuhusu propaganda zake
 
Sibishanagi na mataira kijana.
Kwani hapa tumebishana nimekupa ukweli wako,watoto mliopitia mlango wa nyaa,uwa mna matusi na kebehi sana,unatoa matusi ya jumla bila kujali wengine ni baba zako humu!!anyway mimi sio tahira kama ukitaka kudhibitisha leta kinyeo chako icho kisicho kuwa na linda nipitishe mguu wa mtoto akili itakukaa sawa wewe gasho.
 
Wasalimie mirembe...
 
Mimi nakupa hizo za ndani kabisa ambazo wewe hauna mkuu

Subiri mvua inyeshe ili tuone panapovuja

Za ndani wapi wewe? Huna ulijualo,usitufanye sisi watoto hapa! Unapaswa kufahamu unaongea na watu wenye akili zao wanaojitambua
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…